pamoja na yote Wenger orphans kitu mtachobeba msimu huu ni hii tu🤣🤣Ally tumia akili usiniquote ili unijibu.
Nimesema kwamba kocha wenu alichofanya ndicho makocha wote wanafanya ila mashabiki mnaandika kama vile hilo ni jambo geni.
Na kuhusu kufundisha timu nishafundisha na sasa hivi nafundisha pia. Tarehe 18 kuna bonanza uwanja wa Hekima njoo
Sasa mipasho ndiyo kitu unaweza.pamoja na yote Wenger orphans kitu mtachobeba msimu huu ni hii tu🤣🤣View attachment 2990006
Unaposema spurs wakifungwa unamaanisha nini?Kwamba kuna matokeo mengine zaidi ya hayo?Kwaio wakifungwa spurs ndio basi ligi imeisha?
Nafasi ya 8 inawaita. Mkifanya mzaha zaidi, ya 9.
Bt rekodi huwa zinavunjwa mkuu.Moja ya kitu kinachonipa matumaini kwamba leo Spurs anaturejeshea nafasi ya kuchukua ubingwa ni rekodi mbovu aliyonayo Guardiola nyumbani kwa Spurs.
Pep Guardiola has never won any premier league match at Tottenham Hotspur Stadium ever since he came to England, out of all 7 visits he has barely managed to collect 2 draws and suffered 5 losses.
Now it is my great anticipation to see our dear neighbours putting their energy to make sure this perennial winless streak prevail... at least this is the only good record they can brag of for us.
Kichekesho ni spurs ashinde halafu sisi tunaenda kusuluhu na Everton
Kocha katuonesha ubora wake, ni muda wa wachezaji bora kuonesha thamani ya mwalimu, watu kama rice, odeergad, saliba, ben white wana ubora mkubwa sana, sasa huku kwingine lazima tupate wachezaji wenye ubora mkubwa zaidi. Partey ni bora ila umri kushney, martineli kapoa nilitegemea, ngoja tuone kama atajiongeza, hili hata saka namuona hivyo pia. Anahitajika namba 9 hatari, winga hatari upande wa saka, midfielder mwingine mwenye kuonesha kila alichonacho odeergad, tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana, na msimu ujao huenda ndoo tukabeba tena mapema tu. Ila hivi hivi itakuwa changamoto.ARSENAL ni TIMU NZURI SANA ila haina Wachezaji Wengi wazuri sana. Mchango wa Mchezaji ndo Unapelekea kutengeneza timu Nzuri! Unaona kikosi cha ARTETA Ni wachache sana wanaweza kuwa STARTERS katika timu zao za TAIFA hasa Mataifa makubwa Kisoka.
Nadhani umemaanisha Ligi ya Uholanzi, UTD & ARSENAL Ni wanufaika wakubwa toka Hii ligi. Mchezaji kupigwa ni Suala la Mifumuko ya Bei na Kukosa watu Makini wa Mpira.
Hoja ni KUDUS, Kama ARSENAL Ingempata Hali ya SAKA Ingekuwa kama Martinelli na Trossard. Wachezaji wa Kiingereza wako na Tabia ya Kujisikia wasipopata Ushindani na SAKA + PALMER wameshaingia kwenye kundi hilo.
🤣🤣Itakuwa kiroja cha mwaka, ila sioni spurs akishinda, yaani kajitahidi sana kaambulia sare.Kichekesho ni spurs ashinde halafu sisi tunaenda kusuluhu na Everton
This record ilikuwa kipindi kile golini kunalorris halaf mbele kuna kane.Moja ya kitu kinachonipa matumaini kwamba leo Spurs anaturejeshea nafasi ya kuchukua ubingwa ni rekodi mbovu aliyonayo Guardiola nyumbani kwa Spurs.
Pep Guardiola has never won any premier league match at Tottenham Hotspur Stadium ever since he came to England, out of all 7 visits he has barely managed to collect 2 draws and suffered 5 losses.
Now it is my great anticipation to see our dear neighbours putting their energy to make sure this perennial winless streak prevail... at least this is the only good record they can brag of for us.
Spurs afungwe au asifungwe atajua mwenyewe🤣🤣Itakuwa kiroja cha mwaka, ila sioni spurs akishinda, yaani kajitahidi sana kaambulia sare.
Na kwa man city hii, tusitegemee kupata ubingw kwa makosa ya mpinzani bali kwa ubora wetu, game za kipuuzi, hizi na aston villa, 2-2 vs chelsea, game na westham, kuna fulham, Tottenham ile game ya kwanza, ndio zimetuangusha saana,...Spurs afungwe au asifungwe atajua mwenyewe
Haina haja ya kubebwa na matokeo ya timu zingine wakati games tulizotakiwa kushinda na tungeweza sisi tukapoteza.