Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sikumbuki pia Arsenal huko kabla pamoja na ubovu aliowahi kuwa nao alishawahi kumaliza league akiwa na negative(-ve) goal difference. Kitu ambacho nakiona kwa Man utd kinaenda kutokea. Poor Man utd
 
Sikumbuki pia Arsenal huko kabla pamoja na ubovu aliowahi kuwa nao alishawahi kumaliza league akiwa na negative(-ve) goal difference. Kitu ambacho nakiona kwa Man utd kinaenda kutokea. Poor Man utd
 
Sikumbuki pia Arsenal huko kabla pamoja na ubovu aliowahi kuwa nao alishawahi kumaliza league akiwa na negative(-ve) goal difference. Kitu ambacho nakiona kwa Man utd kinaenda kutokea. Poor Man utd
GD aina maana yoyote kama ina maana bebeni kombe.
 
Wakuu Flano na allypipi heshima zenu

Kwaniaba ya wadau wa Jukwaa hili, tunawashukuru sana Kwa kuwa nasi kwenye vipindi vyote tulivyopitia hadi leo kucheza mechi yetu ya 37 huku tukijikusanyia alama 86.

Hizi ni alama nyingi uki-compare na alama 84 tulizokusanya Mwaka Jana

Kama Mungu akipenda tunaweza kuchukua Ubingwa Mwaka huu iwapo mpinzani wetu Man City atapoteza Kwa Spurs Jumanne.

Arteta ameonesha anakitu, hivyo iwapo ataendelea kuaminiwa na kupewa muda zaidi huenda akaja kutupatia Ubingwa Siku za hivi karibuni.

Endeleeni kutuombea ndoto yetu itimie

Iwapo tutafanikiwa kushinda Ubingwa nawahaidi kuwapatia Vocha za 10k Kila mmoja katika kusherehekea Ubingwa

COYGs 💪💪💪💪
 
Kwa Man Utd hii iliyojichokea ya beki John Evans na Casemiro tena bila ya uwepo wa Engine ya team Captain Bruno Fernandez niliamini kabisa leo Arsenyo bila ya kikwazo chochote anaenda kurudisha zile goli 8 tulizomgonga mwaka 2011, kitu cha kushangaza kabisa eti United pamoja na kufungwa kagoli kamoja eti ndio imedominate game.
United hii iliyojichokea inayogongwa mpaka na kina Crystal Palace 4 - 0 halafu shabiki wa Arsenyau anajisifu kabisa kuifunga goli moja, kikubwa mmejipatia points3 za bure hongereni kwa hilo endeleeni tu kujipea false hopes kwenye game 2 zilizobaki za City huku pia msisahau kutuombea tufungwe kwenye fainali ya FA

Ila na msimu tukibahatika tena kubeba kombe halafu Arsenyo mkatoka mikono mitupu mtafute kabisa sayari ya kwenda kujificha
 
Kila mechi Mwalimu huja na mbinu tofauti, kumbuka tumecheza hivi karibu almost michezo 21 hapo OT ni hii miwili ndiyo tumewafungeni hapo kwenu

Pia tumecheza Kwa tension kubwa ya kuwaza Ubingwa, hivyo nidhamu ilikuwa kubwa kuogopa kupoteza hii mechi

All ina all tafuteni Kocha mwingine, huyu Ten Hugs sioni kama ana mbinu za kuwavusha
 
Mme
Mmepoteza point 3 bado mnajisifu?
 
Haoni shida kufungwa.

Anaona shida kwanini kafungwa chache.

Hata angefungwa nyingi angesema timu yake ni mbovu.

Efficiency is ugly. Ndiyo mechi ya leo.

Idea ilikua kuwaachia mpira kwakua hua hawajui waufanyie nini kumbe wao wamekuja akili yao ikiwa kupaki basi na long balls za Casemiro.

In short Erik opted to be Erik but deeper. Hii tactic imewapa shots mbili on target, hii tactic imewabeba dhidi ya timu kadhaa ikiwemo Liva ila kwetu haijawapa faida.

We had our chances but we missed them. Hizo ndiyo chances tumekua tunazikosa throughout the season na hatujifunzi.

As I said. I just want us to win so that I can say we fought till the end, I don't care what happens with other teams.
 
Aya leta takwimu mechi ya kwanza si mlitimia
 
Yule dogo Amad ni mzuri ila nafikiri nyumbu wakievolve anaweza akaachwa asipoevolve nao.

Kwa game ya leo amekua mzuri kuja mbele kuliko kusaidia kukaba.
 
Saka, saka, saka.
Anapaswa afanye sana kazi ya ziada kwa kweli.

Hivi saka akienda west ham ama Everton atakuw bora hivi, je kudus akija arsenal nafasi ya saka atashi dwa kufanya bora zaidi ya saka?
Kudus akija Arsenal tutamkataa.

Kudus anacheza timu ambayo inategemea sana long balls na kuzishambulia spaces za mpinzani. Ambazo hizi unazipata kama mpinzani anakukaba kwa high pressing au hakufanyii low block.

Arsenal tunafanyiwa sana low block, Kudus akija itabidi aadopt kucheza kama Saka au asubiri game ambayo itaonekana transition na counter zitaleta majibu.

Muone Grealish akiwa Villa. City wakalipa 100M ila jamaa hakuscore karibia msimu mzima. Na akicheza huoni impact, nafikiri ndiyo maana Doku pia anakaa bench kwa sababu kama hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…