Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Heavily reliant on long balls na hakuna wa kuipiga vizuri wala wa kuikimbilia
 
City ni rahisi kupoteza game ligi ikiwa inaanza ila sio kipindi kama hiki, sisi liver tulishawahi mfukuza hadi tunafikisha points 90+ lakini bado ndoo hatukubeba
City hafai. Tulifanya makosa last season ambayo tulirekebisha this season, ila tukaharibu tena kwa Aston Villa. City hawezi kukuhurumia kabisa ukikosea hivyo.
 
Kaka you simply meant tumeshindwa fanyia kazi makosa ya msimu uliopita na huo ndiyo ukweli
Not exactly.
Last season ni kama tuli implode mwishoni. This season tuli implode katikati, halafu tukaibuka tena na so far tumepambana mpaka hizi mechi za mwishoni unaona bado tunapambania kombe. Tungeshinda game ya Aston Villa tungekuwa tunaongea mambo mengine. Ni dalili kuwa kuna ka hatua kadogo tumepiga.
 
Reference hii hapa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…