Soma ulichoandika kisha fananisha na ulicholenga.
Kukusaidia, mie sio shabiki wa liver mie ni arsenal. Nimemjibu huyo wa liver aliyesema tuchukue nunez, ndio nikamwambia nunez anahitaji vitu vidogo tu, akitulia basi watu watamshangaa, ni kama lile chizi lenu jackson, likituliza kichwa tu, watu watamkataa kama ndio jackson waliyemzoea