999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 875
- 1,629
Saka mchezaji wa mfumo kivipi wakati anacheza na injuries, na Kila mechi lazima acheze, hata muda wa kupumzika hana, plus umri wake bado mdogo??
Nimetizama game kwa utulivu mpaka dk ya 80 hivi.
Mengi nimeyaona si mapya ni yale yale... Ubora wa partey hili jamaa, nasikitika tumechelewa kulipata na injuries zake.
ubora wa declan rice akiwa LCM
Shida za kai(nishazizoea na kukubaliana n uhalisia, ndio chaguo la mwalim)
Lakini kubwa kabisa ni huyu saka, ajiangalie saana, saka namuona ni mchezaji wa mfumo huyu, je akienda everton ataweza kushine hivi, je akienda pale man u atakuwa na nusu ya ubora wake hapa arsenal?
Kichekesho kuna muda mtaalam kai alikuja chini kuchukua mpira kwa tomiyasu akamfukuza na kumpasia mwingine.