makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,983
- 104,465
nakusupport apa.. kai ata kukaa na mpira mguuni sekunde tano uongo. ila jesus anaeza na anatoa very good assists.. mfano mzuri goli la trosard vs wolves
Twerking for city??? 🤣🤣🤣Chumaaaaaaaaa Gvardiooooool. Kenge nyie mtasubiri sana.
Nyumbu, cry more 🤣🤣🤣sasa nyie kukosa ubingwa ni kitu cha kustaajabisha na kunipa shauku kweli
like SERIOUSLY hawa arsenal fans kuna kitu wana smoke sio kweli
Hapo Mnaenda kunyonyolewa matofalini ya kuchoma
kwa nyumbu hamfui dafu a rivalry for a meaning
Timu ya kuizuia Arsenal isiwe bingwa ni Man City kushinda mechi zake zote zikizobaki na si kingine.. Tulisema Spurs atamzuia Arsenal lakini wapi. Hata Man utd hawezi kumzuia labda Arsenal asiwe kwenye formsasa nyie kukosa ubingwa ni kitu cha kustaajabisha na kunipa shauku kweli
like SERIOUSLY hawa arsenal fans kuna kitu wana smoke sio kweli
Hapo Mnaenda kunyonyolewa matofalini ya kuchoma
kwa nyumbu hamfui dafu a rivalry for a meaning
Hahah ushahamia unyumbuni. Sasa unaleta tako lako la nini humu si ukashabikie City!sasa nyie kukosa ubingwa ni kitu cha kustaajabisha na kunipa shauku kweli
like SERIOUSLY hawa arsenal fans kuna kitu wana smoke sio kweli
Hapo Mnaenda kunyonyolewa matofalini ya kuchoma
kwa nyumbu hamfui dafu a rivalry for a meaning
Ahah sasa lugha mbaya za nini utani hautaki hizo mamboHahah ushahamia unyumbuni. Sasa unaleta tako lako la nini humu si ukashabikie City!
Arsenal kwa man utd ni mteja wakudumuTimu ya kuizuia Arsenal isiwe bingwa ni Man City kushinda mechi zake zote zikizobaki na si kingine.. Tulisema Spurs atamzuia Arsenal lakini wapi. Hata Man utd hawezi kumzuia labda Arsenal asiwe kwenye form
Mimi Madrid fanNyumbu, cry more
Heavy wins, tumalize second, yote hayo ni sawa kwetu.. Tunachojua we live the moment.Ahah sasa lugha mbaya za nini utani hautaki hizo mambo
By the way tuko hapa ku collect your all tears mpaka pale mtakapo sema kweli huu haukua msimu wenu pia
yani all of those winning heavy winning streaks to just finish second position dah soo pathetic delusional fans
Sasa madrid fan unakuja kuchezesha tako kwenye uzi wa the gunners si ush*ga huo!Mimi Madrid fan
kilichoniuma ni hawa plastic fans kusema wanamtamani madrid leo kesho dah eti wana mmudu ni fedhea iliyoje
kwa huku ipielo chance mnayo finyu shida na nyinyi hatuna japo tuna state facts kwa msimamo ulipo mna 2% of hope ya kubeba hilo taji
bado hujasemaBen White Kona zote anasimama mbele ya Kipa na bado VAR wanagoma ku intervene. Spazi kanyimwa tuta then against the run of play saka anafunga. Arsenali anaandaliwa ubingwa wa mezani.
City anapelekewa moto na watoto. Mechi za mwisho hazijawahi kuwa rahisiCity tayari kaweka mtu huko na bado ana game mkononi.Nikipendacho kwa City huwa anajua kufanya finishing ya games za mwisho
USHAURI WA BURE KWA SHABIKI WA ARSENAL KUHUSU MECHI ZILIZOBAKI.
1. Kusitisha kuangalia mechi zilizobaki
2. Kukusanya dawa zote ndani ya nyumba na kwenda kuzitupa mbali au kuzichoma.
3. Kukusanya kamba zote, mtandio, kanga na mkanda ndani ya nyumba na kwenda kuvichoma moto.
4. Ondoa vitu venye ncha kali kama kisu na bisisi nyumbani kwako na kwenda kuvitupa mbali.
5. Mwisho usipite kwenye madaraja marefu na visima virefu.
MWISHO WA MSIMU UTANISHUKURU.
Mnyama Haaland huko ashafanya yake tayari, nyie endeleeni kupeana false hopes tu humuC
City anapelekewa moto na watoto. Mechi za mwisho hazijawahi kuwa rahisi