makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
Punda kabisawatoto ngedele kweli Kai anapiga Ndoo wametoa macho tu
Leo tiu inacheza kibingwa sana..ukitoa nafasi wamekuadhibu.watoto ngedele kweli Kai anapiga Ndoo wametoa macho tu
Unaambiwa kipa ndo anakubali kukaa nyuma yake, alikuwa na nafasi ya kubadili sehemu ya kusismama.Ben White Kona zote anasimama mbele ya Kipa na bado VAR wanagoma ku intervene. Spazi kanyimwa tuta then against the run of play saka anafunga. Arsenali anaandaliwa ubingwa wa mezani.
Si kweli, game zote jesus kaingia sub kuna kitu amefanya, game a munich aliingia akaasist goli la kusawazisha, game na chelkenge aliingia akaasisst, shida wakati mwingine anaingia timu haina morali ya kutafuta goli, mpira lazima ubadilike anaingia, watu tayari wametolewa, ukitaka hayo angeingia kipindi arsenal imekamilika na inasaka bao, ana mchango mkubwa sana tu, ni arteta mwenyewe ana yake.Kwa sasa Jesus amekuwa mkimbiaji tu, mpira wake hauna impact tena.
Relax enjoy the game.Ben White Kona zote anasimama mbele ya Kipa na bado VAR wanagoma ku intervene. Spazi kanyimwa tuta then against the run of play saka anafunga. Arsenali anaandaliwa ubingwa wa mezani.
Siku akianza mbona hatuoni impact yake, binafsi namkubali kwenye kuchezesha timu ila sio kutafuta magoli, he's not clinical hataaa.Si kweli, game zote jesus kaingia sub kuna kitu amefanya, shida wakati mwingine anaingia timu haina morali ya kutafuta goli, mpira lazima ubadilike anaingia, watu tayari wametolewa, ukitaka hayo angeingia kipindi arsenal imekamilika na inasaka bao, ana mchango mkubwa sana tu, ni arteta mwenyewe ana yake.
1. CARABAO: MMETOLEWAββββ
2. FA CUP: MMETOLEWAββββ
3. UEFA CHAMPIONS LEAGUE: MMETOLEWAββββ
4. PREMIER LEAGUE: SAFARI ISHAISHA ππππ
Wewe siyo kocha, pundits wanakwambia anafanya kazi kwa usahihi. Kocha bado anamuamini. Jesus anao anao hauna maana sana anaichelewesha timu tu.I'd choose Jesus all day over Kai. Kai afunge au asifunge kwangu haibadili kitu.
Uchezaji wake kwa ujumla hawezi kumuweka level moja na Jesus.
Siwezi kukulaumu, magoli/matokeo mazuri ndio yanafika madhaifu yake huenda hujaliona hilo mpaka leo.
Mkuu, baada ya kuikacha Mwanitesa Utn,ni bora ustick na Madrid tuu kule. Huku utajikojolea burekazi mnayo leooo mamaye
Amefunga na ame-assistKai anawaprove wengi wrong. Jesus hakupi magoli, analeta flow ila hana magoli.
Kwani mkuu si timu inashinda, Lazima aanze yeyeSi kweli, game zote jesus kaingia sub kuna kitu amefanya, game a munich aliingia akaasist goli la kusawazisha, game na chelkenge aliingia akaasisst, shida wakati mwingine anaingia timu haina morali ya kutafuta goli, mpira lazima ubadilike anaingia, watu tayari wametolewa, ukitaka hayo angeingia kipindi arsenal imekamilika na inasaka bao, ana mchango mkubwa sana tu, ni arteta mwenyewe ana yake.
Duuh! Hasira umehamisha kwetu Kulaaalekiii.Ben White Kona zote anasimama mbele ya Kipa na bado VAR wanagoma ku intervene. Spazi kanyimwa tuta then against the run of play saka anafunga. Arsenali anaandaliwa ubingwa wa mezani.
sina timu kweny ligi ya mbuzi ligi haina ata klabu moja Champions leaugeMkuu, baada ya kuikacha Mwanitesa Utn,ni bora ustick na Madrid tuu kule. Huku utajikojolea bure
Huyu jamaa hamumpendi, ila kocha hamuweki benchi na anatupiaUmesahau jambo moja, Kai hatakiwi kuanza kabisa!
Una chuki binafsi na kai... Kwani kuna shabiki wa arsenal ambae hajui kama arsenal inahitaji mshambuliaji mzuri wa kati. Mtu akikosea mkosoe akifanya vizuri mpe sifa zake. Kama siyo mtu wa boli mzerKai na arteta sijui wana ushemeji.
Timu inahitaji striker, ambae atashuka kuchukua mipira na kusogea nayo juu, striker ambae anasumbua mabeki akiwa na mpira, stiker sharp
Naandika haya, bwana kai kapiga pasi ya goli
Goli linachekiwa.....
Ni chumaaΓ aaa,
Chuma ya pili.
Ama kweli hakuna ng'ombe asiefaa, kai kasaidia chuma ya pili. Ila bado tunahitaji JESUS