Yes SureMechi ya kesho ndo decider kwa Arsenal...wakishinda the race will go down to the last day....ila matokeo yyte hata draw then it's game over....
Kuna jamaa anakuambia Arsenal tumnunue Rashford kisha tumu-unlock.
Ndiyo unagundua waingereza wanajua kubebana
Tunapofananisha mchezaji anachukuliwa huyu kwenye peak yake na huyu kwenye peak yake.Kabla hajaanza nyondo zake, lakini baada 350K per week, hakuwa Ozil tuliyemjua
Aje yeyote yuleView attachment 2975534
Nyumbu ndio ataufaidi vizuri huo utatuHii ndio bora zaidi
😄😄😄😄 eti ataufaidi 😄😄😄😄Nyumbu ndio ataufaudi vizuri huo utatu
Wao si wana Kasemiro maunoo na Bruno😄😄😄😄 eti ataufaidi 😄😄😄😄
Sijui stats sasa zinasemaje, ila wakati Casemiro anacheza DM, aliongoza ligi kwa kupigwa chenga. Sasa naona kama vile anacheza CB, sijui hapo yukoje. Huyu akutane na Jesus au Martinelli au Saka au Trossard, nahisi anaweza kujikuta katika wakati mgumu sana.Wao si wana Kasemiro maunoo na Bruno
Aisee......Jichangaye useme Burnley hapati goli kwa nyumbu
Sasa mkuu, hiki ndo wadau wanakipagania humu. Kuwe na CONSISTENCY kwenye maamuzi. Haiwezekani similar situation iwe na maamuzi tofauti.
Arteta hachelewi kutuletea ujinga, mradi tu yule braza tolu acheze. 😂Nyumbu ndio ataufaidi vizuri huo utatu
Umesahau jambo moja, Kai hatakiwi kuanza kabisa!Mechi ya leo 3 awe Tomiyasu, Partey na Martineli waanze. Supersub Trossard aingle baadae
Kwa Arteta hiyo sahau tena atakuwa 9.Umesahau jambo moja, Kai hatakiwi kuanza kabisa!
NA ndo atakayetupia leo Sasa goli la ushindiKwa Arteta hiyo sahau tena atakuwa 9.
Bora aanze kai. Jesus kashakuwa mzinguajiUmesahau jambo moja, Kai hatakiwi kuanza kabisa!