Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pep kupoteza mechi, yaani hata sare tu, ni ngumu mno
 
Hii nategemea iwe game ngumu kwetu msimu huu. Watatushambulia sana na kuitoroka press yetu sana tukijaribu.
 
Pep kupoteza mechi, yaani hata sare tu, ni ngumu mno
Kwa hio wote mmeshakubaliana humu kua phase4 sio phase ya makombe, bali masingeli na genge lake walikua wanaupotosha umma na kusababisha taharuki, hivyo sheria ifate mkondo wake washughulikiwe kama wale wahuni wa Uganda walivyoshughulikiwa kwenye phase3?
 
Liverpunda ameshatema bungo

Now ni Arsenal NDOO vs Manchester og
 
mfumo anaotumia dezabi unataka backline makini na yenye mbio, maana anataka counterattack ko ikibuma ni kilio
 
Liva kasuluhu ila watu bado wapo jukwaa hili.

Nilifanya kazk na wachina. Yaani performer mzuri ndiye hua anasakamwa na kugewa targets za juu kuliko performer wa hovyo.

Kuna timu zishakatiwa tamaa. Kenge, nyumbu na liva so hata ukiwacriticise unapoteza nguvu zako bure.
 
official

Hii run ni ya city v/s arsenal watalaam tulishalisema hilo muda mrefu hapo tatizo litatokea city atakapo draw au kupoteza ni itakuwa vita ya GD

kila mtu ashinde mechi zake na mwenye point au Gd kubwa apewe kombe lake
 
Mechi ya kesho ndo decider kwa Arsenal...wakishinda the race will go down to the last day....ila matokeo yyte hata draw then it's game over....
 
Braza Castro Oil hili kwetu tunalihesabia ni jukwaa la Comedy, kila tunapojisikia kucheka tunakuja humu, humu ndani kumejaa vibweka vya kila namna, uwepo wako humu unategemea tu na uimara wa mbavu zako.
Ndio maana hua unaona watu wengi tunajazana humu, ila kujazana kwetu humu usidhanie kua mna kitu special kwenye mpira kuliko timu nyingine hapana, ingekua ni hivyo basi sever ya jukwaa la Mancity ingekua imeshajaa zamani sana
 
Mechi ya kesho ndo decider kwa Arsenal...wakishinda the race will go down to the last day....ila matokeo yyte hata draw then it's game over....
not yet brother

mwaka huu title race iwe mpaka last dance ilitupate ile thrill heat and entertainment till it goes down into a last game

iwe kama ile man city na man utd ... city ana beba ndoo
au ile Liverpool na man city... city ana fanya comeback kwanzia dakika ya 80 akiwa down 2-0 dhidi ya aston vila then game inaisha 3-2

This year game ya spurs dhidi ya arsenal then man city itatupa direction lakini sio fate... fate ni ile arsenal v/s man utd mwishon mwaligi full of entertainment
 
Nyinyi mmekua wabovu kwa miaka zaidi ya 12.

Kwanini mna ushawishi kuzidi city?

Unadhani mna kitu special?

Pep alivyosema angekua unyumbuni na kupata robo ya mafanikio ya city angefurahiwa sana unadhani ni kwa vile mna kitu special?

Hatuendi jukwaa la city kwakua wana shabiki mmoja tu naye ni chizi.
 
Pain killer huyo
 
una draw na burnley mchovu kajifia na game nzima alikua foster anamhemea onana..🤣🤣
 
nyumbu hawajawahi kuwa na akili ... naona wamebaki kuhype vitoto havina ata kaliba ni ubishoo tu.imagine pale unyumbuni wangekua na kinda kama bukayo saka au martin ulimwengu ungesimama
 
nyumbu hawajawahi kuwa na akili ... naona wamebaki kuhype vitoto havina ata kaliba ni ubishoo tu.imagine pale unyumbuni wangekua na kinda kama bukayo saka au martin ulimwengu ungesimama
Hyping PR ni kubwa kuliko uwezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…