Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Zamani ilikua unasikia "De Zerbi kocha hatari" waandishi wanamhoji juu ya formation wakatengeneza na quotes.

Kisha wakamfananisha na Arteta.

Alivyoanza kunyooshwa siku hizi humsikii tena
Bado naamini De Zerbi ni bonge la kocha la soka la kisasa. He needs to be on top teams(liver, city, Chelsea, man u, arsenal, tots) kwa hapo uingereza kuonyesha umwamba wake.

Anatakiwa awe sehemu, ambapo top talents zinakuja kwenye timu yake na kubaki, sio kuondoka. Imagine Caicedo bado yupo pale na Mac Allister, then wanaongezwa watu wengine wa maana.

Hii ndo sababu kwenye press conference ya March before game na Liverpool, alipoulizwa kuhusiana na hatma yake,akajibu “I need to speak to Tony Bloom (owner and chairman) about the plan for the club in order to decide my future, I want to know what is the project. I want to keep my ambition."

Plan and project za Brighton, haiwezi ku-extract maximum potential ya RDZ.
 
Bado mechi 4 Arsenal awe bingwa
 
Kuna wachezaji ukijaribu kuwakubali unakumbuka drama zao moyo unarudi nyuma.

Jorginho.

First leg against Spurs.

Sasa hivi city hashindi kwaajili ya points 3 anashinda kwaajili ya points na GD. Blueprint ya kumstopisha site ni same na ya kumstopisha Arsenal.

For ages liva akabebwa na late comebacks na VAR, nikasema ni swala la muda kabla hizi mbeleko hazijafeli. Sasa vimefeli wanasingizia kwamba Klopp kutangaza kuondoka ndiyo chanzo.

Siyo kweli, drama zote zimecatch and now they are done. Too bad hii ni timu pekee ambayo mashabiki wake unaweza kaa nao meza moja mkaongea kwakua wote mna chance sawa mathematically kushinda ligi.

Mashabiki wengine haina haja hata ya kusoma comments zao
 
Spurs mtani wa jadi.

Ana game na sisi, liva na city.

Hizi games zote anatakiwa ajitoea 100%

Kwakua wao na sisi ni Derby watajitoa zaidi ya 100%

Wana chance kushinda dhidi ya Liva so kwa hapa hawatorisk 100%

Hawana uhakika na ushindi kwa City so anaweza akaona hana haja ya kuikomalia hii game.

Game against Spurs haiwezi kua nyepesi kama tunavyohisi
 
false
 

Attachments

  • IMG_20240426_110211_007.jpg
    13.9 KB · Views: 14
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie Chuchunge mabingwa wa sinia la maharage mna mpya gani humu?
Mie nawakumbusha tu, Kesho ndio ile siku yenu rasmi ya kwenda kuzika false hopes zote za phase4, mnaenda kukutana na wahuni wa London tena wako nyumbani kwao, mbaya zaidi mnaenda kuwakuta kina Pedro Porro wapo kwenye harakati za kupambania kuingia top4[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Leo vigenge vya comedy vinacheza. Washabikiaji hawajui kama vinacheza wamekariri ratiba ya timu ya wanaume tu.
 
Pep kupoteza mechi, yaani hata sare tu, ni ngumu mno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…