Arsenal (The Gunners) | Special Thread

sasa si watamfukuza kocha.
wale security guard wamepoteana,watarudi
wiki ijayo vs spurs
Bado tupo sana humu, ni fedheha kujisifu kuifunga Chelsea hii ya Cappuccino, hawa jamaa ni wa kuruhumiwa tu kwa kweli.
Ndio maana binafsi hua namkubali sana 7 Hag, yule kocha ana utu na ubinaadamu mkubwa sana ndani mwake, baada ya kuona Cappuccino amekalia kuti kavu aliwaambia vijana wake mnusuruni huyu kocha wa Kihindi, sisi tusiwe sababu ya familia yake kufa njaa baada ya kibarua chake kuota nyasi, halafu siku ya kiama sisi ndio tukahukumia na kuonekana wadhambi mno kwa kushindwa kumsaidia walau kwa points 3 tu ili kuinusuru familia yake ipate kwenda chooni.
 
Unajiskiaje points zako hazifiki GD ya gunners
 
Aston Villa huenda akaharibu sikukuu ya mwezi mei, naona wengine wote waliobaki wanachezea tu. City anaweza kusuluhu na nani ili twende sawa?
 
Aston Villa huenda akaharibu sikukuu ya mwezi mei, naona wengine wote waliobaki wanachezea tu. City anaweza kusuluhu na nani ili twende sawa?
Kuna game tulizipoteza siku za nyuma zinaumiza sana. Sema ni vile mpira tu. Ila leo ndo zinatuweka kwenye presha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…