Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,668
- 2,561
Bado naamini Arsenal tim kubwa msimu wa kwanza CL tumetinga robo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msijali msimu ujao kwenye phase 5 mnaenda kukutana nae Madrid, Madrid atachagua mwenyewe apaki basi atolewe kwenye michuano kistaarabu au apishane na Teta ball achezee kono la nyani[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu sio msimu wenu wa kwanza CL acheni kudanganyana humu, kikubwa mshukuru tu siku hizi Wajerumani wameanza kua wastaarabu tofauti na miaka 8 iliyopita walipowagonga goli 10.Bado naamini Arsenal tim kubwa msimu wa kwanza CL tumetinga robo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli Kabisa Asenyo ni timu kubwa sana duniani ambayo haijawahi kubeba kombe lolote la Ulaya zaidi ya kua wasindikizaji.Arsenal tim kubwa sana duniani. Ndio maana Kenge, Nyumbu na takataka nyingine zimejazana humu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanangu mnamaliza phase4 mikono mitupu, kweli nimeamini phasΓ© 5 ndio phase ya makombe[emoji16][emoji16][emoji16]
Tafuteni kocha wa kueleweka, kwa huyo Mateka makombe yenu yatakua ni pressing na overloading tu.
#Poor Arsenyo
Arsenal tim kubwa sana duniani. Ndio maana Kenge, Nyumbu na takataka nyingine zimejazana humu.
π€£π€£π€£Mjerumani hapo alipo anatetemeka sana huku anatamani mechi ihairishwe ila ndiyo hivyo, wakali tupo Munich na muda mfupi tu tutamtema Mjerumani kwenye UCL.
Cheki huyu kuku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mjerumani hapo alipo anatetemeka sana huku anatamani mechi ihairishwe ila ndiyo hivyo, wakali tupo Munich na muda mfupi tu tutamtema Mjerumani kwenye UCL.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa wanapakuliwaMunabanduliwa banduliwa tu kiboya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]