Japo Bayern katutoa ila kwa namna wanacheza, inabidi wasali sana Madrid apite. City hii ya kina Haaland itakwenda kuwapa kichapo cha mbwa koko hasa. Arsenal ni kama hatukua serious kupambana kupata ushindi, we were too scared to make reasonable attacks. All in all we have learned the hard way. Let us meet next season once again.