π€£π€£π€£π€£ Mimi ndiomana niliacha ushabiki niliwahi kupasua simu kwa hasira, juzi hapa ndio nimeanza tenaβ¦! Huwezi amini ile siku tumefungwa 2 na Aston Villa niliumwa
Hizi pimbi zinapigia mahesabu ya ubingwa ,pumbafu sana
Ubingwa wa kunywa ulanzi na rubisi au mbege labda
Arsenyetoz fc , wachovu wa london aka yatima wa Wenger