Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ubingwa wa kunywa ulanzi labda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani mashabiki wa Arsenyetoz akili zenu ,na mna roho ngumu mno .
Yaani bado mnapigia kupata ubingwa msimu huu ?
Ubingwa upi labda mtuambie wenzetu
We mhehe kitu kikubwa kuliko vyote kwako ni kunywa ulanzi au siyo
 
#Sane#
#Musiala#
#Kane#
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Attachments

  • Screenshot_20240417_214253_All Goals.png
    927.3 KB · Views: 26
Nimependa hili jibu murua kwa kenge huyu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Attachments

  • Screenshot_20240417_214941_Chrome.png
    188.6 KB · Views: 28
Ubingwa wa kunywa ulanzi labda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani mashabiki wa Arsenyetoz akili zenu ,na mna roho ngumu mno .
Yaani bado mnapigia kupata ubingwa msimu huu ?
Ubingwa upi labda mtuambie wenzetu
Duh! Watu wanamjibu hatari

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Don Carlo kagomea hotel aliyotafutiwa akisema kila akifikia hiyo hotel wanafungwa.

Ngoja tuone
 
Mwenye link ya kustream hii game tuone namna ya kuwasaidia gunners
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…