Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu
Mwezi mzima huu nakuona upo na Kai

Walikuwa hawakuelewi wajumbe
Katika kundi la mamba kenge hakosekani, kwenye kundinla wachezaji kai ni kenge tu, huwezi sema nina mchezaji KAI, hana akili ya mpira, hana mnyumbuliko eti kai ndio ozil mpya 😂😂.

Mie nikifanya mazoezi mwezi tu yule KAI akatafute mchezo wa kucheza 🤣😂
 
"Sasa kuwa na timu nzuri imetuletea balaa mtaani mpaka mitandaoni"

Nyinyi hamna timu nzuri bali mna midomo sana ndio maana tunawasubiri kwa hamu mfungwe ili tuwasimange vizuri.
Mancity ana timu bora zaidi iliyokamilika kuliko Arsenyau na kila msimu anajibebea makombe vile anataka, mbona wao hawalalamiki kua uzuri wa timu yao imewaletea balaa mtaani mpaka mitandaoni?
Punguzeni midomo ndugu zangu, Arsenyo ni ka mid table team kaliko changamka hakana tofauti sana na kina Everton, Brighton na crystal palace.
 
lile toto ni lijinga sana kuna siku nimelipa makavu mtu Gani unajiongelesha mwenyewe na kujijibu mwenyewe uzi mzima ana Comment Mwenyewe na kujijibu Mwenyewe
 
naona una andika hii ukiwa unalia

wababe? ..... wababe who?
 
Huko kwenye jukwaa la 115 ffp farmers kuna ma psychopath

mmoja anajiita pain killer ana ID 2 yeye kutwa ana comment na kuji reply mwenyewe
 
Huko kwenye jukwaa la 115 ffp farmers kuna ma psychopath

mmoja anajiita pain killer ana ID 2 yeye kutwa ana comment na kuji reply mwenyewe
Kaka globally timu zinazovutia uwekezaji kwa EPL city haitakuja mwaka ujao wala miaka 10 mbele.

Acha ajifurahishe
 
Mtaelewa tu.
Nyie mko juu. Sisi wengine tunapanda. Livakuku na Asenali soon hamtawaweza na nyie mtabaki kuelezana story za jinsi mliwahi kutamba kama sisi tu. Ni suala la muda tu, tena muda mfupi.
Sisi hata tukishuka ,haina tatizo lakin hizi fimbo ambazo tumetembeza EPL kudadeki mtasimulia hadi wajukuu zenu huko kama Klopp na Liverpool yake watasimulia vizazi na vizazi kuwa alikuwepo mnyama mmoja hivi ze citizen ....!!

Mpaka sasa timu langu Sina nacholidai kabisa ,natembea kifua mbele kama saibogi ....
 
Mngekuwa na passion nyie Jana mngefungwa Goli moja mashabiki wote mkakimbia uwanjan ...

Kama mashabiki WA Arsenal mngekuwa na passion Jana mngekimbia uwanjan na kuacha wachezaji wenu wakishindiliwa Goli la pili ?

Kama mna passion Jana mbona uwanja ulikuwa Kimya kama msibani ,mashabiki 30 WA villa ndio walikuwa wanasikika ...

Mashabiki WA kweli ilitakiwa kuendelea kushangilia hadi mwisho kenge nyie ,mnazila kabisa na kuacha kina ordegad masikin pekee yao wanapigwa miti na villa mpaka aibuu
...

Harafu unakuta jitu oooh emirates kuna atmosphere nzuri ,kudadekiii



Jana mlionesha Namna gani nyie Ni plastic fan ,mnafungwaje Goli moja Tena kwenye title race mnakimbia uwanja badala ya kuwapa hope wachezaji waendelee kupambana ...falaa kabisa nyie ....Hakuna mashabiki pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…