Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Masingeli hajafanya chambuzi mechi ya jana?
ππ of course, ushabiki unaletwa na mafanikio. Man City lazima ajichotee mashabiki watoto na vijana wa enzi hizi kama tu Manyumbu, Livakuku na Arsenal ya 90s, na Chelsea kuanzia 2006...Hakuna mtu alizaliwa kuwa shabiki wa Man city
Alikuwa anatakwa na Bayern UjueπHa
Hakun siku nimemkubali KAI ila huwa nawapuuzia wanaomsifia sifia, kuepusha kupigishana kelele na kaa kimya, ila KAI yule hamna kitu mule.
Kapost twitter kasema hii week ngumu Sana tumuombeeπππAmejipiga temporary ban
Die hard fans wake ni wa kuhesabika mfano mimi nawajua wawili na hao walikuwa unyumbun beforeππ of course, ushabiki unaletwa na mafanikio. Man City lazima ajichotee mashabiki watoto na vijana wa enzi hizi kama tu Manyumbu, Livakuku na Arsenal ya 90s, na Chelsea kuanzia 2006...
Mimi uraiani namfahamu mmoja na ni kwa sababu ni dogo wa 19yrs.Die hard fans wake ni wa kuhesabika mfano mimi nawajua wawili na hao walikuwa unyumbun before
FA ya Uingereza imeshampa City kiasi cha pesa kama Advance ya ushindi kwenda kubeba kombe la EPLArteta anakuambia kama hii loss moja itatuzuia kuinuka na kupambana then hatukustahili kua mabingwa from the beginning.
Hapa ishu siyo sisi. Ishu ni aliye juu yetu.
Atagrant same favour ya kupoteza game kizembe?
Dafuq did we do?
Bayern nao waseme ok hatupo kwenye ligi tunafocus na CL. Mbona tunarudia same mistakes?
Punda kabisa
Singeli hafaiAmejipiga temporary ban
Dah! πTimu hainaga kikombe chochote hii zaidi ya lile sinia la biriyani eti community shield
Hata hiyo namba 9, hana la maana, niamini mimi kai hakuna kitu.Alikuwa anatakwa na Bayern Ujueπ
Hata mount alikuwa anatakwa na Liver
Huwezi mbadilisha namba mtu kila siku ukategema Amantain formππyule mngemwacha Tisa tu akatulia nyuma mkala double pivot
MkuuHata hiyo namba 9, hana la maana, niamini mimi kai hakuna kitu.
Tuachie hapo.
π muuza juice mwenyewe ni shabiki la man utd itabidi nikuletee juice ya wineAcha tu Arsenal kanifanya nimeamka na homa jirani, wakati unarudi pitia juice uniletee π
Tuliuasema madrid na arsenal ni muujiza tu si kingineeHaya hamkusema kabla ya game
Liverpool akibeba kombe la ligi au europa nimekaa pale niite mbwa.Utashangilia litimu
Makombe tunabeba wengine
πSio mchezaji wa kumtegemeaHata hiyo namba 9, hana la maana, niamini mimi kai hakuna kitu.
Tuachie hapo.
Mods wanipige ban ya maishaLiverpool akibeba kombe la ligi au europa nimekaa pale niite mbwa.
Niliwaambia watu humu kuwa ataaibika vibaya wakapinga ila muda ukaamua.
πππ basi acha ataniwekea sumuπ muuza juice mwenyewe ni shabiki la man utd itabidi nikuletee juice ya wine