Arsenal (The Gunners) | Special Thread

UKo sahihi mkuu. Hamisi sijui yuko wapi?
hakuna kitu kinauma kama kuanza msimu ukijua kuwa mwisho wake city atabeba tena taji sasa nini maana yakushindana

yani miaka 8 iliyopita liver kabeba mara 1 city mara 7
msimu unaanza watu wakubwa wakina Mourinho wanatabiri city ana 51% Liverpool 49% ya kubeba ubingwa mwaka huu

hapana top team mwakani tufanye kama alicho fanya Leverkusen uko kwa bayern ikibidi mmoja wetu either

Arsenal
Liverpool
man utd
Chelsea
vila
spurs

wafanye usajiri wamaana kuja kustop hizi harakati za huyu mkulima mwenye 115 ffp charges
 
Mkiambiwa nyie ni kondoo huwa mnabisha, sasa unataka Emiry agombee ubingwa na Aston Villa?! Hata ukimpa Pep A.vila hawezi kutoboa.

Emiry amempita mbali sana Arteta. Yaani mliruka mkojo mkakanyaga mavi.
We kiazi tu huna lolote unalojua zaidi ya mihemuko au pengine unaendeshwa na akili za betting.. Sasa Emery na Aston Villa wanafanya nini kwenye ligi kama hawataki trophy.. Kuna makocha walishafanya mapinduzi makubwa kwenye soka na vikosi vya kawaida na wakaweka history kutokana na tactics zao mfano Ranieri na hapo jana kocha mchanga kabisa kwenye game Xabi Alonso na Leverkursen yake.. Mbona yeye hajafanya hicho ikizingatiwa hapo nyuma kuna baadhi ya wachambuzi walianza kuiweka Aston Villa kwenye title contender.. Pimbi moja umeliwa betting unakuja na hoja za mihemko.
 
Arteta kuna muda anazingua lakini haibadilishi maana kwamba Arsenal walifanya maamuzi sahihi kuachana na Unai Emery. Ni mid coach na hakuna lolote alilofanya walipokuwa nae zaidi ya timu ilikuwa worst kila Idara.
 
Nyie mapimbi mumeshindwa kabisa kuivunja hii trend ya man city kubeba beba ovyo ligi na Sasa muna maliza ligi bila kombe😂😂😂
 
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hizo false hopes wacha wapewe na Masingeli, hizi mbuzi za Arteta zenyewe zinajijua kabisa mwisho wa ligi zikishaanza kupoteza mechi moja tu ndio zinapoteana mazima.
Kesho kutwa zinaenda kufungasha virago huko Ujerumani, zikirudi Epl zinakua very frustrated ni mwendo wa vipigo tu na draw mpaka ligi inaisha[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu tupo pamoja[emoji1666]
 
Mkuu tupo pamoja[emoji1666]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Una habari zozote za boss wako Masingeli?
Ila humu jukwaani hakuna mtu mwenye machale kumshinda Masingeli, ukiona Masingeli siku moja au mbili kabla ya mechi na matchday inafika hajapost chochote humu tambua kua Masingeli kashanusa harufu ya kipigo.
Hivyo nyinyi chawa wake mnatakiwa mlistukie hilo mapema sana kabla ya kuanza kuropokwa humu[emoji16][emoji16][emoji16]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…