Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Basi mchagueni shabiki mmoja mnayemuamini akafundishe timu, arteta akapumzike.
Aisee humu ndani huwa watu wanaongea general sana...shabiki ambaye hapati chchte zaidi ya furaha au maumivu timu ikifungwa au kushinda na kocha ambaye ana benchi lake na wte wanalipwa kwa kufanya kazi hiyo nani anakuwa na uhitaji zaidi wa ushindi...lakini watu ikitokea changamoto kidogo watamaliza maneno yote....
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Basi mchagueni shabiki mmoja mnayemuamini akafundishe timu, arteta akapumzike.
Hivi hamjawazoea mashabiki wa Ar8
Masingeli huwa anawaona waone kila kitu ni easy
Yaani wapo kama motivational speakers,,they take things so easy.


Kuna dogo nimemwambia Jana kuwa Arse8 akichukua UEFA Nampa kiinfinix changu..yeye anipe kitochi.
 
Furaha yangu ni kuona Arsenyani wanatolewa UCL mapema. Kwenye EPL sina wasiwasi, next game wanakutana na mzee wa Good Ebening, bado wana London Derby: Chelsea & Spurs, hapo lazima wataacha points. Siku watakayokuja Old Trafford ndiyo tunamaliza kabisa matumaini yao msimu huu. 🀣

TROPHYLESS, AGAIN!!!
 
Wana Arsenali wenzangu Jana tumeona jinsi gabriel na saliba walivyopoteana. Goli la kwanza kaunguza gabriel goli la pili kaumguza saliba yaani mtu ana dribble karibu yard 30 bila kukabwa. Hii inaonesha EPL saliba na gabriel wanaonekana bora sababu wanakutana na timu dhaifu sana.
 
Jana nimchek game zote asee Madrid sio wa kuomba kukutana naye wanampira objective Sana hawana masiala ya pasi side ways then wanamwendo na technical wako classic Sana asee uefa sio masihara
 
Kwhyo na nyny dhaifu🀠🀠🀠..maana tuliwapiga ngeta mkashindwa kupumua tulivyokutana...watu hawawi on top Kila siku..
Nyny
 
Tatizo tunamkuza sana kabla ya kufikia kiwango ,kiwior n uchochoro yule namna yake ya kukaba ni hatar sana anapenda mamikono na ile miguu yake illivyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....

Humu kuna baadhi ya mashabiki akikuelezea wachezaj wa asenal wanawakuza kama vile malaika kumbe n wanadamu wenye morali tu
 
Kimsingi arteta anakua na kuendelea kukua jana amejifunza kitu kuwa hkule yuefani kosa moja unanyolewa mara hio hioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.....
Mechi ijayo atajifunza zaidi kwa kuwa yupo tayari kujifunza,yuefan hapa hitaji mbwembwe za ajabu pasipo goli
 
second leg ikiwa bayern watacheza kama walivo cheza jana.. kutakuwa hakuna haja ya kuanza na mchezaji aina ya kai pale mbele ;panahitajika mchezaji aina ya jesus.. mana sikuona wakifanya pressing sana kwa arsenal.


upande wa defence ikiwa sane bado atatokea kulia kama jana.. inahitajika beki ya tomi ama timber kukabana nae.. kiwior kaonesha udhaifu kukabana na winger inayoingia nayo.. ni mzuri kukabana na wingers za kutanua zaidi mapana ya uwanja.
 
We mtu Yuko kwenye majimbi uko hata mtandao ukishak kidog haoni mpira, anajikuta anamawazo kuliko watu walioko jikon
 
Wewe aliekwambia Arteta anauchungu wa timu kuliko mashabiki ni nani?

Kwahiyo Arteta kipindi anacheza mpira Everton alikua ana uchungu na Arsenal si ndio maana yake!?
Sema ni sehem ya ushabik siwez hamna haja ya kubishana
 
Kuna jamaa anaitwa masingeli kawashikia akili anawaambia zote hizo wanipga kono la nyani, na walivyokua viazi wanamuamini. Yaani sijui mashabiki wote wa Kondoo ni watoto au huwa wanachangamsha tu jukwaa.

Kawabrain wash mpk sasa wanamuona KAI ni mchezaji anaestahil Ballon D'or. kumbe kiuhalisia ni mchezaji anaewakaba wenzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…