Acha kaka aiseeToa kiwior weka zinchenko na toa havertz weka jesus
Amna mchezaji hapo mkuuSielewi kwanini Arteta hampi game time Nelson...
Strong lineups zoteAccording to SPORT BILD la ujerumani ,Vikosi vinatarajiwa kuwa hivi View attachment 2958446
Hivi Kiwior na Tomiyasu nani ni mtu wa kazi?binafsi ningependa aanze KiwiorStrong lineups zote
Mm Leo hata kazini sijaenda ,nasubiri baadae Kuna Banda wanaweka mechi zote 2Leo ni quality vs experience
Shit is going down
10 years waiting for a chance at CL
And once we in it we are being presented with Bayern.
Natafuta buku tano ninunue bando niangalie mechi bila stress
Acha utani Hamisi. Mechi ya usiku inakufanya ukosekane kazini? ππππMm Leo hata kazini sijaenda ,nasubiri baadae Kuna Banda wanaweka mechi zote 2
Imekaa vizuri sana hii πππ₯π₯ Peter Dury in May 2024 will be like ; Mikel's boys have done it. This was evidence from the start of the season when Arteta brought in Timber to add wood to the fire, now they can eat some White Rice.
Thomas and company can now Partey like Jesus is coming tomorrow. Arsenal are the Champion of UEFA champions league and Premier League combined.
vipi hiyo wazeeππ€
View attachment 2958553
Ngoja tumtumie Peter Druryπ€£πImekaa vizuri sana hii ππ
Anaanza kutambika kwanza πAcha utani Hamisi. Mechi ya usiku inakufanya ukosekane kazini? ππππ
Hii kamba bhana.
Kweli kaka ,nimejikuta nimeamka saa 2 na nusu , napigiwa simu gari inanisubiri ,nikawaambia wasepe ,Acha utani Hamisi. Mechi ya usiku inakufanya ukosekane kazini?
Hii kamba bhana.
Umejiajiri ama ni kazi ya kuajiriwa? ππKweli kaka ,nimejikuta nimeamka saa 2 na nusu , napigiwa simu gari inanisubiri ,nikawaambia wasepe ,