Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sisi Manyumbu hatujafurahishwa hata kidogo kumuona Tembo karudi juu ya mti, kama jumatano tulivyomsaidia Kenge kuingia kwenye top 10 basi na kesho pia tumeazimia kumrudisha Punda on the top of table[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nyny malofa kesho jazaneni golini mpira usiingie...draw tu inatosha...hayo mengine tuachieni sisi🤠🤠...habari za hamsa zitarudi weekend ijayo...maana leo tulikutana na bingwa wa kufanya build up kutoka nyuma ila tumemuonesha tunaweza kucheza mpira wwte...Di Zerbi leo atalala anaweweseka kima yule
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Timu ni yetu hivyo msitupangie cha kufanya, sisi kama mashabiki wa United furaha yetu kesho ni kumuona liverpunda anaongoza ligi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…