Kitoabu utamsikia anasema hii timu imefanya niwe mleviKama security guard flano huwa hajui anasimamia wapi, kwa kifupi hajielewi
Huyu Arv nahisi hizo dawa zimeanza kutafuna ubongo
Allypipi sometimes yes, sometimes No
Namkubali mwanangu Kitoabu yeye ameizila timu ameamua akomae na uchimaji wa madini tu
“I was once fined £5,000 for calling Tottenham fans wankers. The best £5,000 I've ever spent.” Ian WrightMtu anaweza sema ila Arsenal na nyumbu ni mahasimu pia.
Na atakua sahihi.
Lakini uhasimu wa Arsenal na nyumbu ulisababishwa na Wenger na Ferguson zaidi, na ulikua ni uhasimu ambao timu hizi mbili kwa kipindi hicho zilikua zipo kwenye peak.
Yaani nyumbu alikua kimafanikio hashikwi na city wala liva isipokua Arsenal. So naturally uhasimu ukaja kwa mtindo huo, lakini pamoja na hayo Arsenal tutaendelea kujivunia kua ubingwa tulitangazia white hart lane na siyo kokote.
Owen mashabiki wote wanamzomea kwakua alienda unyumbuni. Ila nyumbu hawana tatizo na Welbeck kuja Arsenal wala Mkhtaryan.
Van Persie alienda unyumbuni mashabiki tumegawanyika tupo tusiomkubali na wapo wanaomkubali. Tusiomkubali sababu yetu siyo kwakua kaenda unyumbuni ila ni kwakua alitumia muda mwingi kwenye vitanda vya Arsenal, anashine kidogo anaondoka.
Cole hatumkubali kabisa. Same na Adebayor. Kwakua walienda kwa mahasimu wakubwa.
Sisawa na kuwaambia tena hapo. Apigwe fine nyingine.“I was once fined £5,000 for calling Tottenham fans wankers. The best £5,000 I've ever spent.” Ian Wright
Hiki ulichoweka hapa Ambangile alikipresent hivi hivi kwenye Sports arena.Rob Edwards on what makes Arsenal ‘formidable’:
“They give no chances away to the opposition teams. We saw them against probably the best team, a top, top team at the weekend & they limited [Man] City to very little, so they don’t give you anything.”
“It’s very clear in how they attack, but it’s really difficult to stop. They’re always there with good numbers & they can really suffocate you.”
“I think, maybe they’re the one team out of all of the three that are fighting [for the title], they can play any game — if it’s a physical game, a footballing game, a running game, whatever it is — they’ve got the answer. I don’t see any weaknesses.” View attachment 2954353
Hivi mkuu Hizi akili upo lindo au nyumbani?Mkuu Castr unachosema ni kweli haswa ila ni kwa hukohuko kwao Uingereza.
Ila kibongo bongo mashabiki wa Man Utd na Arsenal ni wengi kuliko mashabiki wa timu nyingine yoyote kwenye Epl.
Nenda kwenye kibanda umiza fanya research utagundua mashabiki wa Liverpool hawafiki hata nusu ya mashabiki wa Arsenal na Mashabiki wa City hawafiki hata robo ya mashabiki wa Arsenal.
Wingi wa mashabiki ndio unaoleta uhasimu katika mazingira husika.
Kibongo bongo hauwezi kuona uhasimu wowote kati ya Arsenal na Spurs sababu hapa kwetu mashabiki wa Spurs ni wa kuhesabu, hata uhasimu wa Arsenal na Chelsea hapa kwetu sio mkubwa ki vile kwa sababu hapa Bongo mashabiki wengi wameanza kuijua na kuishangilia Chelsea baada ya Chelsea kununuliwa na Abramovich.
Hivyo ni sahihi kibongo kuona uhasimu mkubwa zaidi kati ya Arsenal na Man Utd hata kama uhasimu huo sio mkubwa kivile kwa huko kwao Uingereza.
Kibongo bongo hauwezi kuona uhasimu kati ya Barcelona vs Espanyol, Real Madrid v Atletico Madrid, Bayern Munich vs Dortmund, Psg vs Marseille, Napoli vs Roma, Juventus vs Torino.
Hapa upo sahihi Kbsa mkuuMkuu Castr unachosema ni kweli haswa ila ni kwa hukohuko kwao Uingereza.

Not a big miss today, we can still win the game without him. Let him recover fully, we have tough games ahead this monthIs Saka fit for today's match?
Any updates so far?
Endelea kuota ndoto nyevu mkuuMkorea sio vizuri kubadili maandiko,
Maandiko yanasema:
Binadamu wote wanazaliwa wakiwa United, baada ya hapo ndio wanahamia timu nyingine kutokana na shida mbalimbali zilizopo katika vichwa vyao.
Friends of Brighton tayari tumeshatia kambi humu, huku tukiwakumbusha kua kesho Liverpool anaenda kuweka gape la points 6 baina yake na Arsenyau.
Tuna kijana wetu anaitwa Danny Welbeck kasema leo hatatuangusha, ameahidi leo bora wachezaji wote 11 wa Brighton wafie uwanjani lakini sio kufungwa na timu mbovu kama Arsenyo na kuendeleza false hopes. View attachment 2955530
Ilikuwa nje ya boxDoh penalty imegomewa
Hawa Kima labda FA wawatengenezee kombe la Pressing & overloading pamoja Duel ila kwenye hii michuano ya kuwania points, wasahau kabisa kuhusu kubeba kombe.kiukweli mimi acha Liverpool na City walibebe tu sio nyie saizi timu aina kitu chochote ila mnatupika balaa sasa mkibeba kombe itakuwaje.
Mungu sio mkatili ivyo awezi kubali ilo litokee kabisa.
FA na PGMOL wanatumia kila njama kutukandamiza lakini tunaenda nao jino kwa jino mpaka kieleweke. Manyumbu, pamoja na kubebwa kote, bado watu wanakomaa nao na kuwapiga.Hawa Kima labda FA wawatengenezee kombe la Pressing & overloading pamoja Duel ila kwenye hii michuano ya kuwania points wasahau kabisa kuhusu kubeba kombe. View attachment 2955617