Arsenal kubeba EPL labda kombe mliibe mkimbie nalo hakuna njia nyingine ya nyie kubeba EPL tofauti na hiyo ni kuliiba tu.Furaha ya nini wakati kwetu Arsenal kuongoza league ni kawaida, kigeni ni ubingwa wapinzani wa Arsenal kaeni kwa kutulia.
na hata wakimchukua osimhen bwana mablichJamaa walisema Kai ndiye kasababisha wawe wa 11 wakamuuza.
Wakasema Cole Palmer atawarudisha top four.
Bado wapo nafasi ile ile na huyo reject wa City π€£π€£
Mtabaki hapohapo nafasi ya 3...hiyo ndo stahili yenuFixture ya Arsenal inakataa kabisa Arsenal kuchukua EPL [emoji23],Kwa Namna yeyote ile
Tayari ameanguka huko
Anatusaidia kukaba.Tayari ameanguka huko
πππππππππππ€£π€£π€£π€£πππππππ
Kama security guard flano huwa hajui anasimamia wapi, kwa kifupi hajielewiStandards are here.
Nyumbu wamefungwa roho inamuuma.
Anakuja kujifariji kua Arsenal siyo wa kwanza.
Wa kwanza ni nani? Liver.
Nyumbu na Liver ni mahasimu wakubwa. Ila watoto walioanza kushabikia mpira baada ya kucheza game la FIFA hawajui hilo.
Hawajui jinsi gani Ferguson inamkereketa anapoona liver inatawala mpira wa EPL, hawajui Erik alipata kazi baada ya kuahidi kumaliza utawala wa Liva.
Mahasimu wakubwa wengine ni City watoto wadogo hawajui Ferguson alitishia kumchania mkataba Evra kwakua alionekana matembezini na Tevez. Hawajui kila kombe la City ni tusi kwao, kila kombe la liva ni aibu yao imeongezwa juu ya aibu nyingine.
Shabiki mmoja wa nyumbu yupo Masaki anacheza ps 5 anazima anascreenshot msimamo wa ligi anatuma na emoji kufurahia liver au city kuongoza ligi.
WTF?
Ni sawa shabiki wa Arsenal nifurahie kenge au spurs kuongoza ligi. Ni haiwezekani. Na huyo ni average fan wa nyumbu humu JF, ndiyo sababu nawachukulia hawajui mpira, hawaijui klabu yao. Nadra sana unikute najibu komedi zao
Kitoabu utamsikia anasema hii timu imefanya niwe mleviKama security guard flano huwa hajui anasimamia wapi, kwa kifupi hajielewi
Huyu Arv nahisi hizo dawa zimeanza kutafuna ubongo
Allypipi sometimes yes, sometimes No
Namkubali mwanangu Kitoabu yeye ameizila timu ameamua akomae na uchimaji wa madini tu [emoji1]