Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ga
Game ilikuwa inamuhitaji mnoo gabriel jesus. Naimani tungewaokota nyingi tu.
 
Kwa kadi ya njano ya leo, Kai atakuwa amefikisha kadi 10+ za njano hivyo upo uwezekano atakuwa na adhabu ya kukosa mechi 2 mfululizo zijazo.
 
Kuna shabiki mmoja wa pundamilia alikua anapenda kujisifia clean sheet. Kipindi kile anajisifia clean sheet ilikua wote tupo sawa.

Come this April. Tumeipata clean sheet Etihad na kwa Luton jamaa wa kuchafua gazeti.

Siku hizi utasikia niko busy na kazi 🤣🤣
 
Kuna watu wanajipa maisha magumu kwa kuiwazia mabaya arsenal
 
Ni hatari asee Gunners Jana wameua tena
Kuna watu wanajipa maisha magumu kwa kuiwazia mabaya arsenal
Duh hawatuwezi.
Nb.
Mabingwa wa Ulaya msim juu ni gunners
 
Mumeshascreenshot msimamo wa ligi?
Mujue munaongoza ligi munapaswa kuwa na screenshot za msimamo wa Ligi hapo kesho ili muone kuwa jana muliongoza ligi.
 
Jamaa walisema Kai ndiye kasababisha wawe wa 11 wakamuuza.

Wakasema Cole Palmer atawarudisha top four.

Bado wapo nafasi ile ile na huyo reject wa City 🤣🤣
 
Licha ya kuongoza ligi lakini furaha hamna [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Licha ya kuongoza ligi lakini furaha hamna [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Furaha ya nini wakati kwetu Arsenal kuongoza league ni kawaida, kigeni ni ubingwa wapinzani wa Arsenal kaeni kwa kutulia.
 
David Martin Raya

11 clean sheets in 24 games so far [emoji3464]

Has the best Crosses Stopped % in EUROPE by a distance, with 14.9% of opponent's crosses claimed/stopped.

PL Average is 6.7%.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…