Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Swala ni kukusanya points, kubadilisha goal difference.
Pt 3 kibindoni, manguli wache waseme, sie kazi ni moja tu, kuchukua ubngwa, ndio inawezekana, and yes we can!
 
Kumbe na wewe ni mzee wa kudandia issues bila kujua chanzo.!! Sijaongea kuhusu kadi ya Bolton, nimeongea kuhusu kadi ya Torres baada ya kuulizwa na Manda, what's wrong with that?!!!! Au ndio matatizo ya baada ya vipigo vya muda mrefu?!!!! Anyway, hongerenei kwa ushindi.

mkuu inaelekea kukiwa na game ya chelsea ... alafu same time kuna game ya arsenal... masikio yako yote kwa gooners .. hehehehe! maana dah unavyotuandama..
 
mkuu inaelekea kukiwa na game ya chelsea ... alafu same time kuna game ya arsenal... masikio yako yote kwa gooners .. hehehehe! maana dah unavyotuandama..

Its simples, the guy is a gooner thru and thru!
I made him out ages ago bro!
 
mkuu inaelekea kukiwa na game ya chelsea ... alafu same time kuna game ya arsenal... masikio yako yote kwa gooners .. hehehehe! maana dah unavyotuandama..


Jifunze kutumia computer vizuri, kuna option unaweza kuwa online kwenye thread utakavyo. Nilikuwa live kule Chelsea zaidi na kidogo hapa kwenu, tatizo nini hapo mkuu? It's an open forum, isn't it? Acha kulialia, unaruhusiwa na wewe kuja kwenye forums za timu nyingine.
 
Thanks!
Mtazamaji hakuzingatia majibizano, alikurupuka kama kawaida yake. Case closed.

Marefa mara nyingine wanataka wao ndio wawe news, that was not a red card. Lakini vipenzi wako Manchester siku hiz!
Wengine tung'ae macho tu!i
 
Toka mnumbula...i mean kumoyo niwape ongera zangu za dhati...nimeona dakika 5 tu za mwisho game yenu...
Pointi tatu kibindoni si haba yakheeee!
 
baada ya kipigo chamda mfupi hata song gave you a wonderful goal and a clear successful defeat..
 
Buraza...wasalaaam!
Alaska hawajambo?...ongera kwa hat trick...
Si Mbaya sana.

Mambo mswano kuku wengi na biskuti, nilikuwa nachubiri Fisadi papa atinge niandamane peke yangu, shenzi type wabongo wa USA wameniboa ile mbaya ati wataandamana kumbe wanaweka kanya boya pambaf kabisa.
 
Thank God msimu tuliuanza vibaya kwani tunaendelea ku-improve tofauti na misimu kadhaa za nyuma ambapo tulianza fresh nakumaliza vibaya. Kwasasa mapungufú yanaonekana hivyo kuna urahisi wa kukabiliana navyo. I hope January dirisha dogo team itaongezewa nguvu na results yataonekana.
 
Adebayoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooor, ooooooooooooohps kumbe next mechi
 
Adebayoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooor, ooooooooooooohps kumbe next mechi

Hahahahahaaaa! kijana.....mara ya mwisho umemwagiwa tindikali lini?
Au unataka risasi ya tak*?
 
Adebayoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooor, ooooooooooooohps kumbe next mechi
Sishangai,wewe si ndo ulitutabiria another weekend of maumivu kutoka kwa Bolton,sawa mrithi wa sheikh yahya,tunasubiri.
 
KIMEO
[h=1]Wilshere set to undergo surgery[/h] September 24, 2011


By ESPNsoccernet staff

Arsenal's Jack Wilshere is expected to be sidelined for the remainder of the year, with the midfielder requiring surgery on his injured right ankle.
jackwilshereheaddown_275x155.jpg
GettyImagesJack Wilshere is set to undergo surgery


• Walcott: Players are to blame
• Benayoun out through injury

Wilshere has been recovering from a stress fracture and Arsenal medical staff hoped the problem would heal itself with the help of a protective boot.
However, the club confirmed late on Friday evening Wilshere's ankle has failed to respond to the treatment and he will now undergo surgery on Monday morning.
"Throughout Jack's injury, the club has been guided by the continuous advice of several world-renowned specialists," said the statement on the club's official website.
"The information attained this week has led to the conclusion that surgery is now required to gain an optimal response. Wilshere is now expected to be out for a period of months. Following surgery these timescales will become more specific."
A club spokesman added: "We have given Jack time to heal naturally which is important wherever possible with a young player. The latest scans show surgery is needed. Everyone at the club wishes Jack a speedy recovery."
Wilshere has been troubled by his ankle throughout the summer, having sustained the original knock in the Euro 2012 qualifier between England and Switzerland in June, and then aggravating it in a pre-season game a month later.
And while it had been hoped Wilshere would return in a matter of weeks, manager Arsene Wenger is now expected to be without the player until the end of this year.

Wilshere wrote on his twitter account on Friday night: "Been in a boot for a month and the bone is not responding. i will have surgery on my right ankle on monday with the two best surgeons around.
"Hopefully i will return to action around christmas time. i am in good hands! thanks for your support everyone!"
 
Walcott, Laurent Koscielny and Gervinho wote nje ya Dimba kesho against Olympiakos..... Sijui huyu fitness coach wa Arsenal analipwa pesa ndogo???? kila siku majeruhi.... ila nadhani watakua fit against T'ham at Lane......That is a match to prove that we can do this EPL thing....
 
Walcott, Laurent Koscielny and Gervinho wote nje ya Dimba kesho against Olympiakos..... Sijui huyu fitness coach wa Arsenal analipwa pesa ndogo???? kila siku majeruhi.... ila nadhani watakua fit against T'ham at Lane......That is a match to prove that we can do this EPL thing....

Don't worry mate cover ipo ya kutosha, utaona vijana wapya leo kama ikibidi mziki wetu mnene Jukwaa litakuwa full nondo, mimi nitaruka na ungo wangu kama kawa nafahamu hata
peas of ants watakuwa wanakesha hapa bila kusahau timu ya mashoga.

Chacha hivi wanachungulia tu ati wanachubiri kitale kimalizike, watachungulia sana mwaka huu.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom