arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,359
- 4,408
Nyie badala y kumfunga bingwa muwe bingwa mnaleta ngonjera zenu za kitoto. Ndio mana ubingwa mtausikia kwnye chupa.
View attachment 2950767
Of course Manyumbu na Chelkenge hawastaili hata salamu ila ndo hvyo tunaenda nao kuwafariji tu ila walitakiwa wavamie majukwaa ya kina Fulham huko ndo wakabishane nao maana hzo ndo level zao sasahvikubishana na shabiki wa chelsii na wenzao ni kupoteza muda bro
kuna mwamba alishasema hata kupewa salamu hawastaili.
tunasubiri zamu yao tutakapokuja kukutana nao
Mmetupa point 4 msimu huu shehe🤠🤠...na bdo kama ww ni Livakuku pale juu wiki hii unatoka...mtake msitakeSmall club mentality
Nimedroo nae ila hatujaleta huu utoto wenu kwamba nyie ndio mmeonyesha dawa ya kumstopisha city, yaan nyie mnafurahia kudroo na city??!We umemfunga?
eboo....Nimedroo nae ila hatujaleta huu utoto wenu kwamba nyie ndio mmeonyesha dawa ya kumstopisha city, yaan nyie mnafurahia kudroo na city??!
Mkitoka hapo mtaanza kujisifia kuoverload, possitional play na kupishana sijui. mwisho wa msimu ww chelsea na man u wote mnatoka patupu. Hamuoni hampo sawa pahala.
Wanajitoa akili mkuu🤠🤠..unajenga hoja kwa mtu ambaye anasumbuana na kina Nottingham Forest kule chinieboo....
tunafurahia kwasababu mlipiga mdomo sana kwamba lazima
tutakula nyingi. tena mkaweka hadi H2H za miaka ya nyuma kwamba
pale etihad lazima tudondoshe point 3
sijui ndugu zetu wana matatizo gani hawa.Wanajitoa akili mkuu🤠🤠..unajenga hoja kwa mtu ambaye anasumbuana na kina Nottingham Forest kule chini
Utoto upi?Nimedroo nae ila hatujaleta huu utoto wenu kwamba nyie ndio mmeonyesha dawa ya kumstopisha city, yaan nyie mnafurahia kudroo na city??!
Mkitoka hapo mtaanza kujisifia kuoverload, possitional play na kupishana sijui. mwisho wa msimu ww chelsea na man u wote mnatoka patupu. Hamuoni hampo sawa pahala.
Ni nyumbu au kuku kishingo??Mlichofanikiwa jana au msimu huu ni kufuta uteja kwa Man City na Liverpool.
Jana ndo mmerusha taulo rasmi kama hamjalijua hili.
1. Carabao cup : ❌❌❌❌
2:EPL loading : FALSE HOPE ❌❌❌❌
3: UEFA loading: FALSE HOPE🔞
4: FA Cup : FALSE HOPE: ❌❌❌❌
Hivi unafikiri mtabahatisha kama game la kwanza, ni uzembe wetu tu tulikua tuwakande.Ww ni mwali wetu...zunguka wee ila unakuja Nyumbani kama Kawa🤠🤠...Burnley wa kujichukulia ujiko ww una draw nao tena wakiwa pungufu na wakiwakosakosa...hakika gemu yetu na nyny inachelewa....kono la nyani safari hii linawahusu
Utaelewa tu.
Wazee wa phase 5
Kaka mimi ni arsenal lkn tusiwachukulie poa bayern et kisa amepoteana bundesliga kumbuka bundersiliga na epl ni ligi zenye uchezaji tofaut kumbuka bayern ni timu inayocheza kwa highline pressing muda mwingi na kumbuka timu zinazotupress high huwa zinatupa wakat mgumu wakiwemo fc porto juzi hivo tusijiaminishe kuwa tuna power kubwa y kumfunga bayern kirahisi uefa huu ni mpira tujaribu kuheshimu wapinzani pia bila kujali current form yao.Mpk Braza Bernado kakiri[emoji1783][emoji1783]...jini wamelifuga wenyewe Sasa linawasumbua...habari ya kuwa wanatufungafunga kwa Sasa wasahau...na tukipata striker ambaye Hana mambo mengi...kipara atatangaza kuondoka kama mwenzie Klopp...tumetengeneza timu ya manunda....nasubiri mechi na Bayern kwa hamu sana...tuone wale wababaishaji watapitia wapi
Naangalia sana mechi zao....si wale waliozoeleka mkuu....itakuwa ni mechi ngumu ila wakikubali goli 2 bila pale Emirates Basi biashara yao itakuwq imeishia hapo...tunza hii commentKaka mimi ni arsenal lkn tusiwachukulie poa bayern et kisa amepoteana bundesliga kumbuka bundersiliga na epl ni ligi zenye uchezaji tofaut kumbuka bayern ni timu inayocheza kwa highline pressing muda mwingi na kumbuka timu zinazotupress high huwa zinatupa wakat mgumu wakiwemo fc porto juzi hivo tusijiaminishe kuwa tuna power kubwa y kumfunga bayern kirahisi uefa huu ni mpira tujaribu kuheshimu wapinzani pia bila kujali current form yao.
Ni hayo tu
#COYG
Kubahatisha ndo nn🤠🤠🤠...hivi nyny mnaosumbuliwa na kina Burnley ndo mtusumbue akili sisi....mara ya mwsho mmeshinda lini.mtufunge na striker Jackson kwli??🤠🤠🤠Hivi unafikiri mtabahatisha kama game la kwanza, ni uzembe wetu tu tulikua tuwakande.
Mkuu usimzungumzie mgonjwa chelsea maana ni timu ndogo usishangae ukaikuta league1 baada ya misimu mi3 mbele chelkenge na nyumbu kati yenu kuna mmoja ana ugonjwa wa cancer mwingine Ana HIVHopeless fc
Hamchukui kombe lolote msimu huu
Mnamaliza 3rd position means next season mnamaliza 4th position
Overlap, overload, aerial duel won ndio kitu mutabeba.
UKWEL MCHUNGU HUU.
HOPELESS FC, Chelsea atarudi aichukue EPL na UEFA nyie bado mkiwa na style of playing na takataka nyingne kama kawaida yenu
[emoji28][emoji28]
Ukomavu wa hali ya juu.Points 4 dhidi ya City
Points 4 dhidi ya Liver
trossard ilikuwaje akashindwa kutoa pass hapa aseeeePartey atumaluzie hizi games 9 za mwisho, ndoo zinaingia pale arsenalView attachment 2950562