Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Asenali wakishinda kama goli tatu au nne nitafurahi zaidi. lakini cha muhimu ushindi. . Au mnasemaje washika bunduki?
 
yule refa ****, anapenda sana kutoa red cards! ile ilikuwa yellow card.

Mkuu Ina maana yule refa ni colour blind. teh teh teh . Au unaweka ushabiki mbele? kama unajua kanuni unataiwa kuelewa asio mfanya kosa alikuwa

  • Ni mtu wa mwisho
  • iikuwa goal scoring opprtunity.
Tupunguze ushabiki wa timu jamani. Tuwe washabiki wa soka kwanza then timu baadaye.

Peasant said:
..........watashindwaje kufunga wakati Bolton wako 10 tu!

haya bana Peasant But kuw 10 Vs 11 sio licence ya draw. Kuna mchezaji 1ja amenunuliwa kwa £50 Million yuko timu kubwa kacheza mechi kama 16 bila hata kufunga goli. Inawezekana na na hii timu yetu ina tatizo hilo. Nadhani unamjua mchezaji mwenyewe
 
Mkuu Ina maana yule refa ni colour blind. teh teh teh . Au unaweka ushabiki mbele? kama unajua kanuni unataiwa kuelewa asio mfanya kosa alikuwa

  • Ni mtu wa mwisho
  • iikuwa goal scoring opprtunity.
Tupunguze ushabiki wa timu jamani. Tuwe washabiki wa soka kwanza then timu baadaye.

haya bana Peasant But kuw 10 Vs 11 sio licence ya draw. Kuna mchezaji 1ja amenunuliwa kwa £50 Million yuko timu kubwa kacheza mechi kama 16 bila hata kufunga goli. Inawezekana na na hii timu yetu ina tatizo hilo. Nadhani unamjua mchezaji mwenyewe

Jamaa huyo ushabiki wa timu mbele alafu ndio mpira.hapo unapoteza mda tu kumuelezea anajua yote. Sema ushabiki wa timu ndio unamfanya hawe kipofu.
 
Back
Top Bottom