Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna mtu anapoteza muda kumjibu nyumbu.

Zaidi ya salamu hamna kingine wanastahili kupata hawa punda
Punguza makasiriko bwana mdogo, Nyumbu nae ni ntu kama ntu nyingine.
Hii ni burudani tu humu unatakiwa ufurahi, ucheke na kuenjoy huku ukipangilia mikakati ya kutafuta pesa, wewe ukijifanya uko serious sana utaishia kujitundika kwenye kamba kama walivyojitundika Arsenyau wenzio waliotangulia
 
Usijali mi pia namna yangu ya kuenjoy ni kuwakera kwa kusema nawaignore. Actually, hua nasoma mnavyoviandika ila honestly hua naona sistahili kuvijibu.

Show me michongo ya pesa sasa
 
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY

"Kai Havertz Versatility Is a key"

✍🏾 Umewahi kujiuliza Kai Havertz anacheza Nafasi gani uwanjani? Tuachane na On paper

✍🏾 Kai havertz Ni kama kiraka tu hana position maalumu ila anaweza kutumika position fulani kwa mahitaji fulani kimchezo

✍🏾 Kuna kitu tunaita Transition-based games mfano kule UCL Wanavyocheza basi Kai havertz ni mtu sahihi kwenye game za aina hii

✍🏾 Kai havertz anasaidia team kucheza Mipira ya moja kwa moja yani pass ndefu kama mpinzani ana press kwanzia juu Kai anakuwa target man sababu mrefu kuwin mipira juu

✍🏾Kai havertz anaongeza uhatari wa Arsenal kwenye mashambulizi sababu Ya mikimbio yake kwenye box la mpinzani ( Presence in a box ) ata asipo pasiwa mpira uwa ana drag out mabeki team pinzani na kuachia nafasi wenzie

✍🏾 Havertz anasaidia Sana kwenye positional play games sababu ya uwezo mkubwa kutambua awe wapi wakati gani kulingana approach Mchezo

✍🏾 Mfano tukicheza 4-2-4 kai havertz uwa anarudi chini kidogo kuungana Odegaard kwa misingi miwili Numerical Superiority eneo la kiungo na Kuwa tayari kupress tukipoteza Mpira akisaidiana na Odegaard

✍🏾 Tuje swali la msingi Kai ni Midfield au CF kwa sasa atumike wapi na kwanini?

✍🏾 Sababu ya Versatility yake kai kwa Sasa Anacheza vizuri sana akiwa CF sababu kuna moments za mchezo zinahitaji kucheza transition base approach asa mipira mirefu

✍🏾 Kai akicheza CF analeta uwepo wa mchezaji mrefu kwenye box hivyo ata mipira Cross inaweza kufanikiwa ata kama sio first touch basi second balls, Pia kai na uwezo mkubwa movements zake kuingia kwenye box anaweza kuwa un marked au Marked cha msingi ni positioning kwa mtu anacheza CF kai anacho

✍🏾 Akiwa MD sio kwamba ni mbaya sana hapana but some potential zake zinakuwa limited sababu eneo analo operate na mahitaji yake japo anaweza kucheza vizuri sababu Arsenal wanacheza kitu tunahita positional interchange hivyo anapata wigo kupanda zaidi

Amigos
 
Na Hamis keshasema binafsi alikua anamtaka Barcelona!? Mwamba anakomfo sana. Lazima ukubali.
 
Kuwa na heshima basi ,
 
Kila timu sasa, mpaka Livakuku na Nunez, inajidai wachezaji wake wameumia ili wasicheze mechi za kirafiki 😂😂
 
wewe timu yako tangu kombe la Barclays lianze ujawai tufunga hata goal 4 yani katika vigogo wa pale England nadhani nyie ndo vigogo wenye amna record ya kutufunga hata goal 4 kwenye mechi moja kama ipo leta hapa.

hafu kingine katika miaka kibao pamoja tunakuwaga unga ila OT mmetufunga mara 1 tu aibu hii.
 
Sisi nyie uwaga hata muwaje tunawalamba tu nakumbuka tumewai wafunga hapo hapo kwenu enzi za wenger beki tukiweka paddy McNair na Tyler blacket kwaiyo sisi uwaga form yenu hata aitutishi lazima tuwa gonge tu.
 
uwaga nacheka sana unavyokuja na izi tambo ile ni OT brother mwaka jana mlialia sana kuwa kipara kapuki bus mwaka uu sijui mtakuja na kisingizio gani mkisha gongwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…