arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Hata Chelsea walikuwa wakikutana na sisi wanatufunga goli nyingi lakini sasahv si limegeuka TAWI letuπ€ π€ ...wale Bayern wakikubali goli 2 tu mechi ya kwanza...basi wajue washatokaHawa jamaa wa history fc wanafurahisha sana, kuna mdau mmoja akauliza:
Bayern wanataka watumie historia ya kutufunga 5-1, je kwa sasa Manyumbu wanatumia historia ya 8-2 tunapokutana?
Mtu unataka kutumia hoja za history badala ya form, ubora wa vikosi na recent performance kama sio ukenge ni nini?
Tuliwataka Bayern na tumewapata, we have a score to settle View attachment 2936029
Hii siyo Arsenal ya kuweka akiba ya maneno. Kwanza hao mnaowaita magiant wenyewe wanatuogopa.Ukiwajibu inabadilisha nini? Historia wanazo leta kwani ni za uongo?
Muheshimu aliye kutangulia kuna watu hapa wameisha anza kuongelea fainali kabisaa sasa huo si utoto inaonekana kama kijiwe cha kahawa humu.
Timu yetu ni bora ndio ila tuwe na akiba ya maneno.
OkHii siyo Arsenal ya kuweka akiba ya maneno. Kwanza hao mnaowaita magiant wenyewe wanatuogopa.
F.A CupKwann game za Leo nyingi zimeahirishwa?
OkF.A Cup
Kisha unakiri kwamba huyo huyo Rice kwa nusu msimu amekuwa key player kwa Arsenal, we mwenyewe unajielewa?Kudus amecheza westham nusu msimu lakini ameweka legacy kubwa kuliko kenge Declan Rice ambaye amekaa westham misimu kibao
Hivi nyie ndugu zangu akiumia Rice huko international duties si mtatafutana Huku
Hapa unamponda Rice na kumsifia Kudus
Kisha unakiri kwamba huyo huyo Rice kwa nusu msimu amekuwa key player kwa Arsenal, we mwenyewe unajielewa?
1. Yaani Rice ambaye akiwa captain wa Westham na kuwapatia their first ever Europian title hana legacy ila huyo Kudus kwa nusu msimu unasema kaweka legacy, unafahamu hata maana ya neno legacy?
2. Kati ya Arsenal na Westham ipi ni club kubwa? Kama Rice katoka Westham akawa key player Arsenal na huyu aliyetoka Ajax ambayo ni kubwa pia kuliko Westham akawa key player Westham (average club), yupi amepiga hatua zaidi ya mwenzie?
Mnafikiri kuna kina Burnley huko wakuwafunga tano?Arsenal tuna team ya kucompete na timu ya aina yeyote.
Hii sio kama timu ya kipindi kile, ikikutana na baadhi ya opponents unajua kabisa tunafungwa.
Kufungwa tunaweza kufungwa lakini siyo kirahisi kama kipindi cha mzee wnger, hata Barcelona ilikuwa inafungwa
Ili uwe bingwa..... inatakiwa uwafunge mabingwa..... upo?Arsenal haendi Popote...maana akijifanya mjuaji Nusu kule ana City au Madrid....hapo ndio nafurahi zaidi
Mnafikiri kuna kina Burnley huko wakuwafunga tano?
Ukiwajibu inabadilisha nini? Historia wanazo leta kwani ni za uongo?
Muheshimu aliye kutangulia kuna watu hapa wameisha anza kuongelea fainali kabisaa sasa huo si utoto inaonekana kama kijiwe cha kahawa humu.
Timu yetu ni bora ndio ila tuwe na akiba ya maneno.
Heee kwahiyo Bayern ni 8 ya pili
Huyu huyu ndiyo size yetuAliesema tumpate Bayern tumempata.
@hamis7
Huyu huyu ndiyo size yetu
Kwa hiyo tujiondokee hapa hapa robo kuepusha fedheha? ππArsenal haendi Popote...maana akijifanya mjuaji Nusu kule ana City au Madrid....hapo ndio nafurahi zaidi π€£π€£π€£
Hamna namna mpambane tu hamuwezi jua Nini kitatokeaKwa hiyo tujiondokee hapa hapa robo kuepusha fedheha? ππ