Tuna mechi ngumu na za kinoko sanaBado mechi 10 tumalize ligi, let's go gunners!
Relax. Enjoy the moment bro.Tuna mechi ngumu na za kinoko sana
City
Kenge
Sp..sy
Nyumbu
Villa
Brighton
Wolves
Bournemouth
Everton
Luton
Una roho ya kwann sana mkuu🤠🤠...tumepanda pale juu kwa jitihada zetu bdo mnatusakama hivi....shindeni na nyny mtufate tulipo mbona ni rahisi sanaIna maana tembo ndio kagoma kushuka juu ya mti?
Hizi ni dharau sasa yaani tembo atakaa mtini kwa siku ishirini mpaka ifike tarehe 31march Mancity atakapokuja na chain saw.
Wivu sina ila kiukweli roho inauma, kina Masingeli na chawa zake watatutolea shombo humu mpaka hili jukwaa tutaliona chunguView attachment 2930717
Nani kamkera tajiri hapaUshabiki maandazi, maskini wa kutupwa mnakalisha mapumbu kwenye vibanda umiza mkipiga kelele ovyo tu hamuangalii mpira na kufikiri na kuelewa. GTFOH...MFR.
Hawa Kenge wataleta sana vurugu humu , ni bora Aston villa ashinde ubingwa kuliko hawa mbuziIna maana tembo ndio kagoma kushuka juu ya mti?
Hizi ni dharau sasa yaani tembo atakaa mtini kwa siku ishirini mpaka ifike tarehe 31march Mancity atakapokuja na chain saw.
Wivu sina ila kiukweli roho inauma, kina Masingeli na chawa zake watatutolea shombo humu mpaka hili jukwaa tutaliona chunguView attachment 2930717
Arsenal ana game nne ngumu city, spurs,nyumbu na kengeRelax. Enjoy the moment bro.
Kumbuka hata Liverpool na City nao wana game ngumu kama zetu.
View attachment 2930751
Na bado.Ina maana tembo ndio kagoma kushuka juu ya mti?
Hizi ni dharau sasa yaani tembo atakaa mtini kwa siku ishirini mpaka ifike tarehe 31march Mancity atakapokuja na chain saw.
Wivu sina ila kiukweli roho inauma, kina Masingeli na chawa zake watatutolea shombo humu mpaka hili jukwaa tutaliona chunguView attachment 2930717
Nyumbu na kenge toa....hao wanakula 3+...gemu ngumu hapo ni Spurs na City tuArsenal ana game nne ngumu city, spurs,nyumbu na kenge
Usilolijua au labda umesahau, Arsenal hajapoteza hata mechi moja kwa timu kubwa msimu huuArsenal ana game nne ngumu city, spurs,nyumbu na kenge
Siyo kwamba wanatuweza I mean watakamia maana ndo makombe Yao yaliyo baki na pia namaana kwa Hali iliyopo hata draw ni lossNyumbu na kenge toa....hao wanakula 3+...gemu ngumu hapo ni Spurs na City tu
Arsenal saiv ni tishio so kila timu itataka ijijengee status kwa kuipigaUsilolijua au labda umesahau, Arsenal hajapoteza hata mechi moja kwa timu kubwa msimu huu
Sioni ilo likitokea, a win against city itakua ni statement kwa woteArsenal saiv ni tishio so kila timu itataka ijijengee status kwa kuipiga
Arsenal ana game nne ngumu city, spurs,nyumbu na kenge
Shida ya Arsenyo ni kushikilia bomba kwenye mechi za presha, msimu ulioisha mechi za mwisho za ligi mlikua mnapoteza kwa timu ambazo hata hufikirii kua hii mechi Arsenyau atapigika.Usilolijua au labda umesahau, Arsenal hajapoteza hata mechi moja kwa timu kubwa msimu huu
Wanasema ndio mechi ilichezwa dakika chache sana, Kona zote walikuwa wanajidondosha ,refa anawapa fauloPorto kwenye swala la 'duels' kila wakiguswa ilikua ni kujidondosha kupooza mchezo na kupoteza mda ni the same na kilichotokea jana
Ila wajue tu iyo jumanne ni kuanzia 4+ goals
Chelsea , manjesta,spurs sio mechi ngumu kwa ArsenalSio 4 kwenye mechi 10 mna game 7 zote ngumu City, Spurs, Utd, Chelsea Villa, Brighton na Leeds.
Kwenye hizi mechi 7 mna kila dalili ya kupoteza mechi 3 na draw 1.
Arsenyo kuhusu makombe bado mtasubiri sana mpaka mfike phase 7.
Nyumbu na kenge toa....hao wanakula 3+...gemu ngumu hapo ni Spurs na City tu
Chelsea , manjesta,spurs sio mechi ngumu kwa Arsenal
Unamuhesabia manjesta asiyeweza kupiga hata pass 5, Chelsea anakuja home , Spurs hatutushi,
Brighton ana injury nyingi na dawa yake tulishaipata muda ,
Mechi ngumu ni vs man city tu
Ww weka mapichapicha yte ila kipigo kwenu kipo palepale...labda kabla hatujakutana mbadilishe kocha...Manunu na Chelkenge ni timu ambazo hazijui zinataka nn.... Brighton hawana mfumo mzuri wa ulinzi...Spurs mwaka jana walikutana na kitu kizito pale kwao hvyo wanajua wakileta ujinga nn kitawapata...mechi ngumu ni City tu...Hawa inatakiwa tucheze kama tulivyocheza nao mechi mbili za nyuma walau tunaweza tukawadundaMechi za mwisho za ligi msimu ulioisha hili jukwaa lilikua limejaa matusi ya wenyewe kwa wenyewe, kocha, wachezaji na timu yote kwa jumla, niamini mimi msimu huu kwenye mechi za mwisho ndio itakua maradufu zaidi, panapo uzima kama kawaida yangu mimi nitakua humu kuwasuluhisha na kuwakumbusha kua nyinyi nyote ni ndugu sio busara kutukanana humu
Msimu ulioisha katika kipindi kama hiki tulikua tunamshauri ndugu yetu verifaidi yuza kua tunawaombea mema mchukue ndoo ila bado mna mechi ngumu msijipe sana false hopes maana Arsenyo ni Arsenyo tu, muda wowote inaweza kuwaletea simanzi akawa anatujibu shit na mbwembwe kibao, ilipofika mwisho wa msimu tukawa tunamuona na yeye tayari ameshaingia kwenye mfumo
Jamani sisi kazi yetu ni kuwakumbusha tu kwa screen shot kama hizi. View attachment 2931209View attachment 2931223View attachment 2931229View attachment 2931237
Tukishachukua ndoo tu, tutaanza updates na news za usajiriIna maana tembo ndio kagoma kushuka juu ya mti?
Hizi ni dharau sasa yaani tembo atakaa mtini kwa siku ishirini mpaka ifike tarehe 31march Mancity atakapokuja na chain saw.
Wivu sina ila kiukweli roho inauma, kina Masingeli na chawa zake watatutolea shombo humu mpaka hili jukwaa tutaliona chunguView attachment 2930717