Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimetoka youtube kuangalia live training ya brentford aloo Jumamosi hamtoki yani hata sare hampati

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Kila mtu sasa anataka kutufunga sisi tu. Kila mtu anatukamia. Kila mtu ameboresha kiwango chake ili atufunge sisi.

Sisi tunasema 'poa tu, acha aje tukutane uwanjani.'
 
Kazini Kwa Timber,Zinny na Tomiyasu kuna KAZI

Jakub Kiwior’s last five league matches:

vs Liverpool
vs West Ham
vs Burnley
️ vs Newcastle
vs Sheffield United

Another goal involvement
 
Jakub Kiwior

Miaka 24

Height 6ft 2inches

Spezia to Arsenal £20m

Jakub Kiwior’s last five league matches:

vs Liverpool
vs West Ham
vs Burnley
️ vs Newcastle
vs Sheffield United
 
Nyie kuanzia wiki ijayo tu Fc Porto akiwatoa Uefa molari yote inashuka mnaanza kupoteana mazima kwenye Epl.
Nusura yenu labda mpate ngekewa tu ya kumfunga Porto.
Hakuna goli la ugenini safari hii....wale Porto watatueleza vzuri siku ile walitufungaje....sisi habari ya ngekewa hatuna sasahv...tunakupiga 5+ kwnda juu...yakitokea mengine yakakataliwa humohumo hesabu inakuwa kubwa bdo🤠🤠...mtaarifu Pepe ajiandae
 
Nimeona sasa niangalie ep ya kwanza ya All or Nothing: Arsenal.

Niko dk ya 30 na naona kumbe kina Kroenke walikuwa na presha ya kutosha ila nimeona kipande cha Edu akiwa anamuonyesha Josh Kroenke jinsi anataka kusafisha rightback nzima (akaletwa Ben White) na jinsi tayari wameshamchukua Odegaard kama mwanzo wa plan yao.

Tayari jina la Partey lilikuwa wameliweka ubaoni nafasi ya Elneny. Kuna mengine nadhani nikiendelea kuangalia nitaona na kujifunza zaidi tulipotoka, tulipo sasa na tunapoelekea.
 
Ndio mnagundua leo. Liverpool tunao watano pia wana 10 + goals contribution
Kingereza kigumu mkuu? Washakuandikia wenye takwimu zao kuwa hakuna team ingine yenye wachezaji wa5 wenye 10+ goals contribution

Haya wataje hao wachezaji wako wa5 wa Liverpool wenye 10+ contribution ili tuwabishie EPL na takwimu zao
 
Eh eh eh eh...😧😧😯😯
Yaani unadiriki kumuuliza mwana Liverpool kuhusu english aisee?
Au umesahau kuwa jukwaa lao ndo headquarters za english hapa jamii forums? Kaombe radhi fasta kule jukwaani kwao kabla hawajakushtukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…