1: Kwaajili ya short term plan nitamchukua Ollie Watkins, kwa sasa ana miaka 28, hivyo anaweza kutumika kwa misimu mitatu kisha ntakua tayari nimekuza kijana wangu wa long term project1. Watkins
2. Toney or
3. Osimhen to Arsenal next season?
I would go for Toney, he is a perfect match to our playing style
Mawazo yangu kwenye dirisha kubwa tuongeze hawaWatkins. Ila bila 100 na zaidi simuoni akija.
Tusihangaike na striker wa gharama sana. Tutafute kijana mpambanaji, mwenye speed na nguvu aina ya Alexis Sanchez na Luis Suarez kutoka South America huko. Tumpate mapema ili aanza pre-season na ikibidi tusagure ulaya tupate aliyeanza timu za ulaya tayari ili mambo ya permit yasisumbue.
Halafu tutafute winga hatari mithili ya Saka, na kiungo mithili ya Partey.
Kama Partey atatuaga June, naona Jorginho atabaki kwa mwaka mmoja. Atasaidia kumuingiza mdogo ndogo kiungo mpya kwenye mfumo.
Wazo zuri. Napenda Ramsdale abaki ila ni ngumu sana kuwa na makipa wazuri sana wawili kwenye team moja.Mawazo yangu kwenye dirisha kubwa tuongeze hawa;
CB-De ligt au Hato.
Midfielder-De Jong au Zubimendi.
Winger-Neto.
Striker-Mniletee yeyote tu
Lakini kwa akili yangu mlete (Ollie Watkins au Goncalo Ramos).
Kisha Toa kwa mkopo msimu mzima wakakomae zaidi;
Albert Sambi Lokonga.
Emily Smith-Rowe.
Kisha UZA hawa;
Eddie nketiah.
Nelson.
Ramsdale.
Elneyn.
Marquinhos.
Partey.
Naamini kazi itakua Safi sana.
Emile Smith Rowe abaki...ni silaha nzuri kuwa nayo...yule mtoto anajua Bolu....Lokonga apite hv👉👉...Wazo zuri. Napenda Ramsdale abaki ila ni ngumu sana kuwa na makipa wazuri sana wawili kwenye team moja.
Lokonga naona hata tukimuuza ili tusiharibu career yake. Sioni tukimhitaji kama tulivyomhitaji Saliba hata kama alienda mara mbili kwa mkopo. Smith Rowe sawa tumtoe kwa mkopo. Elneny na Partey nadhani mikataba yao inaisha mwaka huu.
Hato simjui, nitamtafuta youtube.
Unakuja huku na maneno mingi mingiiii. Omba mechi tukutane uwanjani. This time unapokea mkono.Mnajazana matumaini hewa Yani mnachekesha sana.
Bado mechi 2 mtoke hapo juuMnajazana matumaini hewa Yani mnachekesha sana.
Hawa jamaa hawajaona tu wakiliegea kidogo, sisi tukakomaqa, wanatupisha pale juu.Bado mechi 2 mtoke hapo juu
Wanajitoa fyuzi...Hawa jamaa hawajaona tu wakiliegea kidogo, sisi tukakomaqa, wanatupisha pale juu.
Tumesema sana humu kuwa tupo pamoja nanyi katika kusapotiana kumyang'anya ubingwa Kipara. Tukiukosa sie basi muupate nyie ila asiupate kipara. Sasa nyie mnatujia na maneno mbofu mbofu. Tutawachenchia...ohoooo...Kuifunga Liverpool ndo ubingwa wenu
Bora mara 1000 achukue city kuliko nyie kengeTumesema sana humu kuwa tupo pamoja nanyi katika kusapotiana kumyang'anya ubingwa Kipara. Tukiukosa sie basi muupate nyie ila asiupate kipara. Sasa nyie mnatujia na maneno mbofu mbofu. Tutawachenchia...ohoooo...
Rowe aondoke maaana ni kama haelewani na kocha iviEmile Smith Rowe abaki...ni silaha nzuri kuwa nayo...yule mtoto anajua Bolu....Lokonga apite hv👉👉...
VVD ni chuma mkuu, hakuna asiyejua hilo. Kwa sasa umri unampa mkono na Saliba bado kijana sana kwa hiyo akiendelea kuimarika, anaweza kumfikia na kumpita . VVD tangu akiwa southampton kila timu kubwa ilikuwa inamtolea macho ni vile tu hawakutaka kulipa 75m kwa beki. Klopp alifanya la maana sana kumnasa huyu mwamba.Huyo kenge wenu Saliba hapa hatokuja kuingia. Maaanzaje kumlinganisha beki la dunia VVD na huyo one sizon wanda wenu saliba?
View attachment 2918412
Amekuwa na bahati mbaya ya majeruhi...sio kwmba haelewani na kocha...ni sawa na Vieira tu...wte Wana potential ila majeraha yamewarudisha nyuma tu....Rowe aondoke maaana ni kama haelewani na kocha ivi
City mwenyewe anakaaa unasema wewKuifunga Liverpool ndo ubingwa wenu
Yaaan ule pale kuna wachambuzi wa wingereza walikuwa Wanasema arteta anatumia kama kisingizio ila dogo alikuwa asha recovery kitambo, lakin pia kipind arsenal walikuwa wanapoteza game ya mwisho ilionekana Rowe akipeana hai kwa furah ili trend Sana mitandaoni so sizan kama arteta atafuraia kitendo kama ichoAmekuwa na bahati mbaya ya majeruhi...sio kwmba haelewani na kocha...ni sawa na Vieira tu...wte Wana potential ila majeraha yamewarudisha nyuma tu....
.Sasa unamtaja isak tena huoni aibu mkuu. Hio arsenal nzima hakuna mchezaji kama isak kama unabisha tuweke statistics hapa .
Huyo wilson mwenyewe alicheza dakika chache kuzidi jesus kamzidi mbaliii na pale Newcastle ni second striker sio main striker.
Kitu pekee unachoweza kupiga kelele nacho ni kukaa nafasi isiyo yako hapo juu.
Unapoongelea wachezaji wa Newcastle unaongelea best players nan anamweka trippier nje pale arsenal, nan anamweka bruno nje pale arsenal? Nan anamweka isak nje pale arsenal? Nan anamweka pope nje pale arsenal?