Maajabu yapo ila sio haya kakaUsishangae nyumbu akampora points 3 city, mpira una maajabu yake.
Huyu inabid akae katikati ya 6 na 4West ham 6
Newcastle 4
Astonvilla sijui atakula ngapi ila anapaswa aadabishwe.
Ni mwendo wa visasi. Tumesema mwaka huu malipo ni hapa hapa duniani.West ham 6
Newcastle 4
Astonvilla sijui atakula ngapi ila anapaswa aadabishwe.
Nadhani wanaendelea kulifanyia kaziSema bado tuna kosa ukatili, madogo Wana ridhika sana
Hatari MkuuHalafu tunawakumbusha tu...No Partey...No Jesus...No Tomiyasu...No Vieira...No Timber...ila no problem🤠🤠... Zinchenko kuanzia leo ataliwa anagombea namba na Raya na Ramsdale...Timber wamuweke asirudi tena mpk msimu ujao....wapinzani wasije wakasema tuna gubu bure
Wakati anatuhudumia tunamwekea ile mechi ya Juzi tunamkanda bao 3 Kwa 1 😅Naunga mkono maamuzi yako mkuu.
Natamani auba na moto ule, ange tumia, ubingwa unge fikaNadhani wanaendelea kulifanyia kazi
Miaka yote forward za Arsenal huwa zinakosa umakini pale mbele.
Unakumbuka Emmanuel Adebayo akiwa Emirates....anapewa pasi za magori 18 alafu anafunga 1 ama 2 tu 😜
Ni kweli japo wengi hushindwa kuwa Royal Kwa timu ndiyo maana wengi walituacha njiani na kuelekea BarcelonaNatamani auba na moto ule, ange tumia, ubingwa unge fika
Naaam 😂Wakati anatuhudumia tunamwekea ile mechi ya Juzi tunamkanda bao 3 Kwa 1 😅
Arsenal inanifurahisha sana, waliotufunga wote tunawapa dozi nono goli nyingi, mpira mwingi.Ni mwendo wa visasi. Tumesema mwaka huu malipo ni hapa hapa duniani.
Anatakiwa apigwe 3+Huyu inabid akae katikati ya 6 na 4
Tuombe uzima mpira ni uwanjaniMaajabu yapo ila sio haya kaka
Jana niliwaombea yanga na ikashinda 4Mhhh🙄😆, tusha ingia nuksi nusu albino ana tuombea😀
Msimu huu tujitahid tuchukue ndoo
Tumshukuru sana Fabregas kwa kutokuchoka kumtengenezea jamaa nafasi 😃😄Nadhani wanaendelea kulifanyia kazi
Miaka yote forward za Arsenal huwa zinakosa umakini pale mbele.
Unakumbuka Emmanuel Adebayo akiwa Emirates....anapewa pasi za magori 18 alafu anafunga 1 ama 2 tu 😜
Nyie nyumbu tulieniLabda mchukue ndoo ya chooni.