Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,225
- 96,108
Sema bado tuna kosa ukatili, madogo Wana ridhika sanaHahaha.........wasituonee wivu Hawa jamaa
Arsenal mechi hizi za karibuni tunafunga mabao mengi kama tumefungwa Busta miguuni 🤗
Apate suluhu kwa live na man u😂😆Manchester City's next five Premier League games could decide if they win the league for the fourth straight season:
▫️ Manchester United (H)
▫️ Liverpool (A)
▫️ Brighton (A)
▫️ Arsenal (H)
▫️ Aston Villa (H)
Itapendeza sanaApate suluhu kwa live na man u😂😆
Nashauri sisi arsenal tuku toe sadaka ewe nusu albino Half american.Mimi ni shabiki kindak ndak wa the gunners
Inatakiwa uwafikirie na wapinzani.braza🤠🤠....unataka Kila mechi watu wawe wanatoka wamekula goli sita na kuendelea si itafikia hatua timu zitagoma kuja uwanjani...muwe na ubinadamu kidogo ndugu zetu🤠🤠Sema bado tuna kosa ukatili, madogo Wana ridhika sana
Sisi watuweke wa mwsho Kila wiki kucheza Ili wapinzani wacheze washinde halafu tuchukue magoli Yao yte kwa pamoja tujumlishe Ili tuje kuyalipa tukicheza...Mechi ijayo vs Sheffield itachezwa jumatatu, hivyo wachezaji watakuwa na muda mzuri wa kurecover.
Wengi ambao hawakuwepo watakuwa washarudi, tukianza na Jesus, Partey na Timber. Zinchenko na Tomiyasu mpaka sasa haijafahamika ila inaonekana Zinchenko yupo karibu kurejea ukilinganisha na Tomiyasu.
Fresh tu kwa nnavyoipenda asenal nipo tayariNashauri sisi arsenal tuku toe sadaka ewe nusu albino Half american.
👉Ili tubebe ubingwa😆😂
Timber simuoni akifanya vizuri tena kuzidi kiwior, alafu timber pancha nyingi sidhani kama hata kama akipona ni mchezaji wa kutegemea sana.Kwa hapa tulipo tutakosea tukiamini kwamba Timber akipona tu ataanza kikosi cha kwanza. Kiwior tangu awekwe kama traditional LB amezidi kuimarika, nafikiri haitakua rahisi kwa Timber/ Tomiyasu.
Hii ni habari mbaya ndiyo ila siyo kwetu hii ni habari mbaya kwa wapinzani. Kama timu ina squad depth ya kutosha ni faida.
So tukae pembeni tuone ushindani wa namba utavyokua
Raha ya maziko, kilio kiwe Kikubwa jamani😆Inatakiwa uwafikirie na wapinzani.braza🤠🤠....unataka Kila mechi watu wawe wanatoka wamekula goli sita na kuendelea si itafikia hatua timu zitagoma kuja uwanjani...muwe na ubinadamu kidogo ndugu zetu🤠🤠
Mizimu ime kataa, eti mtu gani huyo nusu albinoFresh tu kwa nnavyoipenda asenal nipo tayari
😂 fwaaaala weweMizimu ime kataa, eti mtu gani huyo nusu albino
Dah una dharau Sana nusu albino, Kumbuka ngozi yako Ina thamani😂😂 fwaaaala wewe
Msimu huu tujitahid tuchukue ndooDah una dharau Sana nusu albino, Kumbuka ngozi yako Ina thamani😂
Kwa msimu huu tu. Ukiisha na tukienda pre-season, nafikiri timber ataimarika na kujishikia nafasi kwenye timu. Japo naamini hata hivyo mpango ni ule ule wa kuwa na wachezaji wawili wawili kila namba, na wawe bado wanauwezo wa kucheza namba tofauti. Mfano Timber anaweza kutumika kuinvert kutoka RB kama Benny Blanco huku Kiwior akicheza LBKwa hapa tulipo tutakosea tukiamini kwamba Timber akipona tu ataanza kikosi cha kwanza. Kiwior tangu awekwe kama traditional LB amezidi kuimarika, nafikiri haitakua rahisi kwa Timber/ Tomiyasu.
Hii ni habari mbaya ndiyo ila siyo kwetu hii ni habari mbaya kwa wapinzani. Kama timu ina squad depth ya kutosha ni faida.
So tukae pembeni tuone ushindani wa namba utavyokua
Haya Tomiyasu itakuaje?Kwa msimu huu tu. Ukiisha na tukienda pre-season, nafikiri timber ataimarika na kujishikia nafasi kwenye timu. Japo naamini hata hivyo mpango ni ule ule wa kuwa na wachezaji wawili wawili kila namba, na wawe bado wanauwezo wa kucheza namba tofauti. Mfano Timber anaweza kutumika kuinvert kutoka RB kama Benny Blanco huku Kiwior akicheza LB
Mhhh🙄😆, tusha ingia nuksi nusu albino ana tuombea😀Msimu huu tujitahid tuchukue ndoo