999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 875
- 1,629
Au kwa mfano KDB angekuwa anacheza na striker Jackson, tungekuwa tunamwongelea kwa takwimu za assists??Nketiah ameshavunja rekodi tayari Epl, ndio mchezaji aliyetema mate mengi uwanjani.
Naona kang'ang'aniwa bado!City leo ataingia na hasira kutaka kucover gap la magoli.
Morali ya Brentford ipo chini pia.
Tho watatamani kujitutumua ila kinyume na basi na kaunta sioni wakicheza style nyingine
Dah halafu kachukua point muda umeendaNaona kang'ang'aniwa bado!
Nketiah ameshavunja rekodi tayari Epl, ndio mchezaji aliyetema mate mengi uwanjani.
Team ambayo imefika champions league final mara moja inatamba kumpiga bingwa wa kihistoria zaidi ya mara 12 ,hii unaongelea movie sio champions league night , MADRID kwenye Uefa ni dude la kutisha ,ni wanaume kwelikweliMadrid Jana bila kipa wao Lunin wangepigwa nyingi tu
Ndio maana namuomba Madrid sana ,
Yaan UCL wakumtoa mancity hazizid timu 2
Carragher anasema anaomba robo fainal tukutane na mancity sababu Arsenal ni Moja ya timu chache sana za kumtoa mancity
Yule Madrid wanaweza kumpiga nyingi
Man City kachoka kiaina, enzi zake ukimfunga anacharuka, lazima ufe nyingi.Dah halafu kachukua point muda umeenda
| Hint | Answers |
|---|---|
| Spanish goalkeeper who also had a spell at Watford | |
| France right-back who joined Manchester City after his contract expired | |
| England centre-back who made the brave switch from Spurs to Arsenal | |
| Belgium defender who went on to win four league titles at Barcelona | |
| Another France defender who left for Manchester City | |
| Cameroon midfielder who left for Spain before a loan spell at West Ham | |
| French midfielder who scored, but, guess what? He joined Manchester City | |
| France midfielder who struggled badly with injuries | |
| Czech Republic midfielder who rejoined his boyhood Slavia Prague when he left Arsenal | |
| Russia forward who is best remembered for scoring four at Anfield Denmark striker who completed a hat-trick with stoppage-time penalty |
Hahaha bila kugoogle nimewapata hawa.Zawadi atakayepatla hii quiz:
Can you name Arsenal's team from their last win over Porto?
Hint Answers Spanish goalkeeper who also had a spell at Watford France right-back who joined Manchester City after his contract expired England centre-back who made the brave switch from Spurs to Arsenal Belgium defender who went on to win four league titles at Barcelona Another France defender who left for Manchester City Cameroon midfielder who left for Spain before a loan spell at West Ham French midfielder who scored, but, guess what? He joined Manchester City France midfielder who struggled badly with injuries Czech Republic midfielder who rejoined his boyhood Slavia Prague when he left Arsenal Russia forward who is best remembered for scoring four at Anfield
Denmark striker who completed a hat-trick with stoppage-time penalty
Kwahiyo Gael Clichy na Abou Diaby ndiyo siwaelewi? Kwanza sikuwahi kujua kama Diaby ni mfaransa nilifikiri ni muafrikaHahaha bila kugoogle nimewapata hawa.
1)Almunia
2) Sagna
3) Sol Campbell
4) Vermaelen
5)
6) Song
7) Nasri
8)
9) Rosicky
10) Arshavin
11) B52
8 ni DiabyHahaha bila kugoogle nimewapata hawa.
1)Almunia
2) Sagna
3) Sol Campbell
4) Vermaelen
5)
6) Song
7) Nasri
8)
9) Rosicky
10) Arshavin
11) B52
Clichy na Diaby hapo.Hahaha bila kugoogle nimewapata hawa.
1)Almunia
2) Sagna
3) Sol Campbell
4) Vermaelen
5)
6) Song
7) Nasri
8)
9) Rosicky
10) Arshavin
11) B52
Hapana mkuu au nikutajie na ile line up ya fainali na Barca?Hahaha hongera,lakini zawadi sikupi kwa sababu ume- Google majibu