Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal will win the League at Old Trafford , City kati ya tarehe 3 March Hadi 20 April atakua ameshatema Bungo tayari.View attachment 2909752
Wazee wa False hopes kwenye ubora wao.
Mmeshindwa kuwin msimu uliopita wakati mmeongoza ligi kwa siku 258 ndio mje kuwin msimu huu?

Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha kipindi ambacho Chelsea, Liverpool, Man Utd wanachechemea huku City ikiwa tiamaji tiamaji ndio mje kuwin msimu huu Liver na City gari limewaka?

Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha wakati zimebaki mechi 8 kumalizika ligi nyinyi mnaongoza kwa points 8 mbele ya City alie nafasi ya pili, halafu imebaki mechi moja ligi kuisha City anaongoza kwa points 8 mbele yenu ndio mje mshinde msimu huu ambao kati anaeshika nafasi ya kwanza na wapili hakutakua na gape zaidi points 3?

Kweli nimeamini kua shabiki tu wa Arsenyau tayari unakua comedian by nature, ndugu yangu Masingeli kwa kutambua IQ yenu amewaambia muanze tu kushangilia kabisa maana Uefa msimu huu tayari ni mali halali ya Asenyo
 
Safari hii tunakuja kutangaza ubingwa pale OT kama tulivyofanya mwaka 2001🤠🤠....na tutatangaza kwa style yake ya kukubabueni kono la sokwe
 
Tulia wewee.
 
Thomas Partey is back in full first-team training for Arsenal ahead of the Champions League clash against FC Porto tomorrow night
 
Juzi kati hapo nilishtuka kumsikia Ambangile anasema KDB anakwenda kuwa kiungo bora wa muda wote kuwahi kucheza epl.
 
Safari hii tunakuja kutangaza ubingwa pale OT kama tulivyofanya mwaka 2001
....na tutatangaza kwa style yake ya kukubabueni kono la sokwe
OT mtakuta gari tayari limeshawaka mjiandae tu kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu.
Nilichomuelewa Baba Ubaya(Ten Hag) round ya kwanza aliitumia kutengeneza formation ya timu ingawa formation yenyewe haieleweki(amefeli) huu mzunguko wa pili anachotaka kufanya ni kama kile alichofanya msimu uliopita butua butua lakini dakika 90 zikikamilika points3 ziwe mezani.

Ila tuweke utani pembeni Aseno ya msimu huu imepoa sana, ile aseno ya top on the table ilikua imechangamka hatari, ukikutana na zile Hashtag za Arsenyo ndoo Haaland kiatu jukwaa linazidi kuchangamka.
 
Huo mpira wenu wa kuotea labda mtukute tuna kikosi cha tatu....ila hawa wahuni wanaotoka majeruhi wawepo wte ukichanganya na hawa wanaotoa dozi ya khamsa...aisee nyny kushinda labda mshinde njaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…