Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 718
- 1,311
Hapo Arse8 anaweza kukata moto mechi 5 mfululizoHii marathon ya ubingwa ni ya mtu che,
After 5 games Kuna uwezekano, klop akatema bungo,
Pep msimu huu yupo vibaya mno msimu huu, tatizo lake ni mbishi sana.
Kuna uwezekano mkubwa nyumbu wakitupigia makofi. Yani mchezo miwili kabla ya kumaliza ligi NDOO itakua imetua EmiratesView attachment 2907967
Halafu Chelsea anashinda zoteHapo Arse8 anaweza kukata moto mechi 5 mfululizo
Akili zenu Arse88 ni za kwenu pekeeni hapa duniani, yaani mna kaulimwengu kenu.KDB alichomzidi Odegard ni uzoefu TU, ndo mana nasema miaka kama 4 ijayo, wakati Odegard atakapokuwa mzoefu kama KDB, ukiwalinganisha KDB atakuwa kaachwa mbali sana
Odegard ana vitu vingi kamzidi KDB. KDB alikuwa anafanya nini katika umri wa Odegard. Kumbuka Odegard anagombaniwa na Madrid kipindi hata miaka 15 sijui kama alifikisha.
Sioni anachosifiwa KDB, Odegard ashindwe kufanya, ila Kuna vitu Odegard anafanya KDB hawezi kufanya, mnaishia kusema modern footballer hautakiwi uwe na mambo mengi
Kosa lenu kukariri maisha, utanielewa baada ya misimu 4Akili zenu Arse88 ni za kwenu pekeeni hapa duniani, yaani mna kaulimwengu kenu.
Sasa hiyo miaka mi4 hatatakiwa kulinganishwa na KDB tena, KDB atakua uarabuni huko anakula Pension.Kosa lenu kukariri maisha, utanielewa baada ya misimu 4
KDB alifungashiwa virago chelsea.Sasa hiyo miaka mi4 hatatakiwa kulinganishwa na KDB tena, KDB atakua uarabuni huko anakula Pension.
KDB usimfananishe na huyo dogo, ana vitu vingi sana vya kufanya mpk kumfikia.
Mnamuona mkali kwa kuwa yupo kwa wachovu, madrid pale walimfukuzia mbali.
KDB akienda pale madrid anapata namba ila huyo kiazi alifungishwa virago.
Amejaribu kuangalia mbele kama Odegaard ataendelea na moto huu. Kwa bahati nzuri KDB alikuwa kwenu. Mo Salah pia. Nyie hamkuweza kuona mbele ila wengine (City, Roma) waliweza na wakafaidika nao.Akili zenu Arse88 ni za kwenu pekeeni hapa duniani, yaani mna kaulimwengu kenu.
Notice kwamba Arsenal hawazii kushinda mechi moja.Hii sasa ndio ile kwenye bible inaitwa kula kwa jasho wakati ndugu zetu Asenyo wenyewe ikitimia miezi 9 ya ligi huwa wanazaa kwa uchungu. View attachment 2908387
Mwanafunzi mmoja anawaza jinsi ya kupata division 1 kwa A zote au ikishindikana kabisa basi B isizidi moja. Mwingine anawaza Division 3 yake isiharibike ikaangukia 4. Halafu huyu wapili ajione yuko sawa na yule wa kwanza..Notice kwamba Arsenal hawazii kushinda mechi moja.
Unawaza utokwe jasho ili umfunge Luton Arsenal anawaza anapataje CL na ligi.
Kama hauna stori zaidi ya kutuonyesha timu yako iko hovyo kaa kimya ujifunze
Manunu huwa wana tabia flani ya kujitutumua wakipata matokeo mazuri kwa mechi kadhaa...hii tabia hata kocha wao anayo...wakianza kufumuliwa sasa utawaonea hurumaMwanafunzi mmoja anawaza jinsi ya kupata division 1 kwa A zote au ikishindikana kabisa basi B isizidi moja. Mwingine anawaza Division 3 yake isiharibike ikaangukia 4. Halafu huyu wapili ajione yuko sawa na yule wa kwanza..
Chelsea mlikuwa na Salah na De Bruyne wakiwa vijana wadogo kabisa..mkawafanyaje...mkawaharibu tu kwasababu hamuwezi kukuza vipaji...angalia anachokifanya Odegaard sasahv...je De Bruyne alikuwa anakifanya katika umri huo???....au ukishiba ulanzi unaanza kuropoka tu kwakuwa kuongeq ni bure🤠🤠🤠....miaka 3 mbele hyu Odegaard ataanza kufananishwa na magwiji waliowahi kucheza pale ligi kuu EPLSasa hiyo miaka mi4 hatatakiwa kulinganishwa na KDB tena, KDB atakua uarabuni huko anakula Pension.
KDB usimfananishe na huyo dogo, ana vitu vingi sana vya kufanya mpk kumfikia.
Mnamuona mkali kwa kuwa yupo kwa wachovu, madrid pale walimfukuzia mbali.
KDB akienda pale madrid anapata namba ila huyo kiazi alifungishwa virago.
Haha haaaa.........nimeipenda hii konzi.Mwanafunzi mmoja anawaza jinsi ya kupata division 1 kwa A zote au ikishindikana kabisa basi B isizidi moja. Mwingine anawaza Division 3 yake isiharibike ikaangukia 4. Halafu huyu wapili ajione yuko sawa na yule wa kwanza..
Humu wamejaa comedian's watupu, ukiwa na stress zako halafu ukaingia humu utaishia kutabasamu kama sio kucheka kabisa halafu unajikuta umesahau shida zako kwa muda.Bila kombe, humu mnajadili takataka tu.
Chelsea atajipanga na kurud kuchukua ligi na UEFA nyie bado mko hivo hivo
Sio mimi ni historia inasema
Sema nyie arsenal fans ni viumbe wa tofauti na sisi binadamu
Nikitaka kutoa stress lzm nije hili jukwaa la comedy
Siku nyingine hatokuja na hoja ya namna hiyo tenaKDB alifungashiwa virago chelsea.
Akaenda ujerumani.
Pep akaona kwa anavyotaka Kelvin ni mtu sahihi.
Hakimi alifungashiwa virago Madrid.
Akaenda Dortmund na sasa PSG
Salah aliachwa Chelsea. Akaenda Roma, Klopp akaona kwa anachotaka huyu ni mtu sahihi.
Umetoa hoja dhaifu sana.
Martin anasajiliwa Madrid ana miaka 15. Mimi na wewe huo umri kwa bongo tupo sekondari tunakaririshwa bunsen burner.
Umeandika utumbo hadi naona uvivu kukuelewesha. Pogba alitoka bure United Juve ikaona atafaa kwa wanachotaka.
Jua kwanza mpira kabla haujajua maneno machafu
Watu watakupinga na kukukebehi but huo ndio ukweliKDB alichomzidi Odegard ni uzoefu TU, ndo mana nasema miaka kama 4 ijayo, wakati Odegard atakapokuwa mzoefu kama KDB, ukiwalinganisha KDB atakuwa kaachwa mbali sana
Odegard ana vitu vingi kamzidi KDB. KDB alikuwa anafanya nini katika umri wa Odegard. Kumbuka Odegard anagombaniwa na Madrid kipindi hata miaka 15 sijui kama alifikisha.
Sioni anachosifiwa KDB, Odegard ashindwe kufanya, ila Kuna vitu Odegard anafanya KDB hawezi kufanya, mnaishia kusema modern footballer hautakiwi uwe na mambo mengi
utoto raha sanaMkuu uefa ni michezo ya mkakati na bahati pia. Tukulie uefa kwa Porto tuna mkanda 5, hii ndio standard yetu kwa Sasa
Kwaio wakija home hatutawekeza nguvu kubwa, Hadi robo huko
Robo tubahatike kukutana na city, Madrid, Bayern au Barca ili kazi iwe nyepesi
Nusu final then Final yenyewe.
Ni kuweka mikakati sawa tu, huku upande wa uefa
Ligi ni marathon, huku ndio kazi ipo
Uefa tuwekeze nguvu 40%, tunaanza na Porto. Hii tumeshafudhu hapa
Ligi tuweke nguvu 60%
Atacheza nafasi ya nani🤠🤠...he had his chances na hakuzitumia....kuna wachezaji sio wa timu kubwa lazima tukubali hvyo....unless abadilishe mentality kwlikwli na akubali kuanzia chini na kitokulalama....kuna documentary niliona alikuwa analalama mbele ya Nketiqh na mchezaji mwingine nimemsahau kwmba hapewi nafasi ya kutosha kucheza mwenzake Nketiqh akamchana kwmba sisi tupo hapa na hatupati nafasi lakini tunajituma mazoezini....kwhyo dogo akitaka kubaki labda abadilike sana....nafasi yake kuna watu wengi wazuri kuliko yy hvyo sio rahisiUongozi usije ukamuuza Sambi Lokonga, dogo ana potential kubwa.
Nilichogundua Sambi sio mkabaji mzuri ila anachezesha timu vizuri, press resistant, passer na ball carrier mzuri. Angepata nafasi ya kucheza pivot na Rice kama ilivyokua kwa Jorginho, things would have worked out.
Pia ni versatile, mana hata pre season ya msimu ulioisha tuliona akiwa anatokea pembeni na alikua akifunga.
Next season abaki kuongeza squad depth.