Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wazee mko serious sio kwa dozi hizo za magoli mnazogawa.
TAfuteni kocha wa kueleweka ndugu zetu....haya yanayowatokea ndugu zenu sio kwmba ni ndoto...ni uhalisia...tusitafutiane lawama tukikutana...siku hzi tunaanzia mkono ushindi wetu...Sasa tumewapa tahadhari majurani mapema🤠🤠🤠
 
Wazee mko serious sio kwa dozi hizo za magoli mnazogawa.
Hata wasikutishe ni kawaida yao hawa kima wakikutana na walevi.
Mechi zao za mchekea ndio zinaelekea tamati, wiki ijayo wanakutana na Newcastle lazima wateme bungo, halafu fixture yao ya March, April na May ni mwendo wa kurudisha chenji, mechi 3 za mwisho watakua wanapambana na kina Villa na Spurs kuingia top 4.
1- City
2- Kuku
3- Nyumbu
4- Villa, Spurs na Arsenyau
 
Kumbe kenge akishinda anakuja hadi nafasi ya nane na anafufua matumainiya kucheza hata conference league
 
Unaugulia ukiwa pande zp mkuu 🤠🤠🤠...sasahv tukishinda goli 3 kushuka chini tutakuwa tunawaomba radhi ndugu zetu maana haya mambo hatujazoea
 
Na Mzee wa Jambia

GOLI 11 KWENYE MECHI 2 ZA UGENINI MFULULIZO this is Arsenal football club


Kwema bao la kwanza King Kai Havertz ameondoka na Mabeki 2 kufungua nafasi Kwa Martin Odegaard Kubaki peke yake kwenye ncha ya box anafunga 1-0

Kwenye Bao la Pili Kai Havertz anatoa Pasi Kwa Leandro Trossard anafanyiwa Faulo, Bukayo Saka anaweka chuma 2-0

Kwema Chuma ya 3 Kai Havertz anatoa Pasi kwa Martin Odegaard anae Assist Kwa Bukayo Saka Chuma 3-0

Then Kai Havertz anaweka Mwenyewe Chuma ya 5... anamtia tobo Dara O'Shea anaweka nyuma ya wavu 5-0...

Kama bado una wasi wasi na Kai Havertz nenda kashangilie rede... Thank you Chelsea


Ubingwa wa Arsenal msimu huu hapa.

Dhidi ya Man City ETIHAD


Dhidi ya Tottenham Hotspur stadium


Dhidi ya Man United Old Trafford


Note; Nikipiga hawa nachukua Ubingwa.I don't care kuhusu Matokeo ya Man City au Liverpool ...

Mwenyezi Mungu naomba popote pale nikutane na FC Barcelona au Bayern Munich..Muda wa kulipa Madeni huu.. KENGE NYIEEEEEE


FT
BURNLEY 0-5 ARSENAL

FT
WESTHAM UNITED 0-6 ARSENAL
 
Ahsanteni majirani Kwa kutushukuru ,leo tumewarahishia kazi ya kubeba ndoo ,mshindwe ninyi kumng'oa Liverpool kileleni ,yule city kimbelembele tumepunguza upepo leo

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Chelsea akinfunga Leeds kwenye FA cup, basi mech yake na Arsenal itahairishwa

Hivo Arsenal atapata wiki 3 za kupumzika

Hizi wiki tatu ni Min preseason nyingine

Hapo injuries zote zitakuwa zimerejea

Ikiwezekana hizi week 3 ,waipeleke Tena timu Dubai
 
Bwana Castr alivyokua anasema Ligi tunaanza January mlikua mnakaza fuvu eeh mkizani anatania? Onena watu wanavyokula mikono uko kila weekend na hapo sasa bado kosi kamili February linatimia dadeki.
Mahesabu yameenda hovyo dozi tunatoa kidogo

Ilibidi Partey, Timber, ST na RW wangekuepo balaa lingekua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…