Realy ?This is how it’s going to work:
If Arsenal pursues FDJ; Then Rice is going to be our long-term #6.
If Arsenal pursues Zubimendi; Then Rice is going to be our long-term #8 and situational #6.
I prefer Zubimendi over FDJ, to be honest.
"Sasa anakaribia miaka mitano Arsenal, na katika hiyo mitano, ametumia mitatu kupambana tusishuke daraja"
Kidela muogope Mungu ndugu yangu.
Miaka 3 ipi timu ilitaka kushuka daraja halafu Arteta akapambana ili isishuke?
Sema Arteta kakaa karibu miaka 5 bila ya kombe lolote la maana zaidi ya mwanaFA pamoja na bakuli la ngao ya jamii hapo utaeleweka vizuri ndugu yangu.
Zubi ni pass master sana Hana tofaut sana na Rodri au BosquetRealy ?
au simjui sana zuba
I got umkorea
Unajua kwanini hatuharakishi wachezaji Kwa Sasa ?
Mikel Arteta:
"The most important thing to impact at the end of the season is to have the squad fully available. For me, that is requirement number one. And at the moment, we don't have it.
I think we have a good chance." [Arsenal]
I got u
Mechi za mwishoni uefa na ligi inabidi tuwe na full squad
Game 10 za mwishoni za kumaliza ligi partey aanze kutumika hapo
Kroenke afanye namna hiki chuma kitue pale Emirates kuna watu hawataingiza timu 😂😂😂View attachment 2906059
Kesho tunarudi kileleni kaa kwa kutulia binti 😂😂😂Hawezi kuja kuua kipaji chake kwenye timu ambayo haibebi kikombe chochote hata cha chai😂😂
Upo kiumeni hapa shanganzi, siku nyingine kuku mkiambiwa mnakutana na Arsenal hii ukae kwa kutuliaNaona mpo kupeana matumaini hewa
Baadaye mtakuja hapa mikono mitupu
Pole sanaKesho tunarudi kileleni kaa kwa kutulia binti 😂😂😂View attachment 2906062
Upo kiumeni hapa shanganzi, siku nyingine kuku mkiambiwa mnakutana na Arsenal hii ukae kwa kutulia
View attachment 2906064
Brentford inabid amkazie liverkuku kesho mapemaKesho tunarudi kileleni kaa kwa kutulia binti 😂😂😂View attachment 2906062
Bingwa which...bingwa who...bingwa how🤠🤠...ww na sisi hatuna tofauti sana wte tunaombea mabaya City asianze zile marathon zake maana pumzi hyo hatunaPole sana
Mabingwa wala hatupigi kelele
Endelea kujilinganisha na sisi wakati huna kikombe hata Cha chai halafu unaona tuko sawaBingwa which...bingwa who...bingwa how🤠🤠...ww na sisi hatuna tofauti sana wte tunaombea mabaya City asianze zile marathon zake maana pumzi hyo hatuna
Endelea kuota😂Brentford inabid amkazie liverkuku kesho mapema
Kombe ambalo sina ni UEFA tu....kombe la chai kwli sina maana sijawahi kushiriki Hilo kombe🤠🤠...natamani turudie tena mechi na nyny maana ile mnasema tuliwaotea ndugu zetuEndelea kujilinganisha na sisi wakati huna kikombe hata Cha chai halafu unaona tuko sawa