"Sasa anakaribia miaka mitano Arsenal, na katika hiyo mitano, ametumia mitatu kupambana tusishuke daraja"hamis77 hebu tusaidie sisi #artetaout.
Hivi kwenye ligi hii kuna manager mwingine ambaye amekuwa head coach au manager kwa mara ya kwanza kama Arteta? Yaani hajatoka kuwa manager wa timu nyingine kabla?
Nikitafakari naanza kuona kama jamaa ana potential. Kakaa chini ya miaka minne na Pep kama msaidizi. Sasa anakaribia miaka mitano Arsenal, na katika hiyo mitano, ametumia mitatu kupambana tusishuke daraja, kurudi top 4 na sasa inaonekana kama miaka miwili anapambania ubingwa. Si haba.
Ukiangalia wahasimu wake wakuu ni Pep na Klopp, wanaosemekana bila shaka kuwa makocha bora duniani, walioingia kwenye timu zao za sasa wakitoka kupata mafanikio timu kubwa tu kabla ya Man City na Liverpool.
Je Arteta aendelee kupewa muda? Je unadhani Arteta anaweza kweli kutwaa ubingwa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuongoza ligi siku 258 zinabaki mechi 8 ligi kumalizika bado unaongoza ligi kwa points 8 dhidi ya Pep alieshika nafasi ya pili, zinabaki mechi 4 ligi kumalizika Pep anaongoza ligi, inabaki mechi moja ligi kuisha Pep anaongoza kwa 8points huko ndio kwenda bega kwa bega na kipara au mimi ndio sijaelewa jinsi Arteta anavyoenda bega kwa bega na Guardiola?Nadhani unaweza kusema kwamba Arteta alivyoanza, hawa miamba wawili walikuwa wamemuacha nyuma sana. Lakini sasa unaona nayeye amewafukuzia mpaka amewafikia kiasi fulani. Sasa anaenda nao bega kwa bega. Kwa mwenendo huu, anaweza kuanza kuwapita.
Klopp kaamua kukimbia battle. Je title race itaacha kuwa Liver-City-Arsenal, na kuwa City-Arsenal?
Ujifunze kuandika bila kuanza na abuse vijana wengi mnakosa mipango ya maana mjini kwasababu ya kukosa communication skills.Wewe ni mjinga , kwani yeye anaponifunga anakutanaga na Arsenal ipi?
Arsenal tumecheza na mancity mara 2 msimu huu
Zote kafa
Flano boss umeonekana tena hewani? Maana nilikuwa naanza kupost kwamba wewe umekuwa hamisi wa unyumbuni sasa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuongoza ligi siku 258 zinabaki mechi 8 ligi kumalizika bado unaongoza ligi kwa points 8 dhidi ya Pep alieshika nafasi ya pili, zinabaki mechi 4 ligi kumalizika Pep anaongoza ligi, inabaki mechi moja ligi kuisha Pep anaongoza kwa 8points huko ndio kwenda bega kwa bega na kipara au mimi ndio sijaelewa jinsi Arteta anavyoenda bega kwa bega na Guardiola? View attachment 2898731
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yangu hamis77 sio kwamba anakimbia jukwaa la hashaa bali yupo kwenye mchakato wa kuvuta jiko ndio maana anaonekana kwa nadra humu.Flano boss umeonekana tena hewani? Maana nilikuwa naanza kupost kwamba wewe umekuwa hamisi wa unyumbuni sasa.
Nyumbu tutawanyosha 4[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chawa katika ubora wake.
once a gunner always a false hopes.
Naamini jamaa anapitia upepo fulani na unakaribia kukata.Is Osimhen a prolific striker? My verdict is NO
Arteta alikuta Emery anataka kuzamisha timu. Juhudi za wachezaji zikatubakiza top 10. Tena kwa Arterta ndo kabisa wakataka watupoteze. Aubameyang anajiamulia tu kwenda zake Barcelona badala ya kutimba mazoezini. Arteta alipitia wakati mgumu sana. Hapo bado fans tunamsagia kunguni. Kina hamis wanafikiri hakukuwa na #Artetaout ila tulikuwepo huku bongo mpaka London.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yangu hamis77 sio kwamba anakimbia jukwaa la hashaa bali yupo kwenye mchakato wa kuvuta jiko ndio maana anaonekana kwa nadra humu.
Ila wewe Kidela ndio wa kutudanganya humu kua Masterclass kwenye 5yrs of nothing alitumia miaka 3 kuisaidia timu isishuke daraja?
Nimekuuliza hapa msimu gani huo Arsenyau ilitaka kushuka daraja haujanijibu.
Arteta alikuta Emery anataka kuzamisha timu. Juhudi za wachezaji zikatubakiza top 10. Tena kwa Arterta ndo kabisa wakataka watupoteze. Aubameyang anajiamulia tu kwenda zake Barcelona badala ya kutimba mazoezini. Arteta alipitia wakati mgumu sana. Hapo bado fans tunamsagia kunguni. Kina hamis wanafikiri hakukuwa na #Artetaout ila tulikuwepo huku bongo mpaka London.
Sasa kijana anakaribia kulia kivulini baada ya msoto wa maana
Nakuelewa. Ila tupo pia wale ambao tunamuona huyu dogo bado. Tunafurahi akishinda halafu tukifungwa tunakumbuka "kwanza huyu dogo hatukumtaka..." 😀😀Nilikuwa mmoja ya mashabiki waliokuwa hawamtaki Arteta. Please forgive me, I have proved something different in him. He is the best.
We need someone with convincing power to let those American idiots release fund to buy key players; besides coach and technical director
Arteta is good tatizo msimu huu ameanza ujuaji wa ki-guardiola ndio itamcost. Aache experiments za ajabu na ajaribu kupanga wachezaji based on form sio upendeleo na pia afanye rotation za kutosha.Nilikuwa mmoja ya mashabiki waliokuwa hawamtaki Arteta. Please forgive me, I have proved something different in him. He is the best.
We need someone with convincing power to let those American idiots release fund to buy key players; besides coach and technical director
mwamba.. ilifikia stage hadi ukawa unataka arsenal impe kazi ya ukocha sean dyche!Nilikuwa mmoja ya mashabiki waliokuwa hawamtaki Arteta. Please forgive me, I have proved something different in him. He is the best.
We need someone with convincing power to let those American idiots release fund to buy key players; besides coach and technical director
Upo sahihi kabisaHENRY14 Hebu angalia kinachotokea Chelsea na Man United, Do you think you can terminate a contract of head coach today and expect to have favorable results tomorrow - with new headcoach? Twende taratibu, I sincerely believe he will take us where we want to be
mwamba.. ilifikia stage hadi ukawa unataka arsenal impe kazi ya ukocha sean dyche!
sijui ata uliona nini yani kwa uyo jamaa asee.
Nikiwamo.Nakuelewa. Ila tupo pia wale ambao tunamuona huyu dogo bado. Tunafurahi akishinda halafu tukifungwa tunakumbuka "kwanza huyu dogo hatukumtaka..." 😀😀
Yaani hili Kieran Tierney kupotezwa linaniuma sana.Arteta is good tatizo msimu huu ameanza ujuaji wa ki-guardiola ndio itamcost. Aache experiments za ajabu na ajaribu kupanga wachezaji based on form sio upendeleo na pia afanye rotation za kutosha.
Mfano unamtoa mkopo Tierney huku ukijua Zinchenko na Tomi ni injury prone unategemea nani acheze left back? Usije sema Kiwior maana hapo kati Saliba na Gab hawana backup!! One injury we are done. Same applies to White!!
Nashukuru Tomas aliumia maana alishageuzwa RB ili tu Havertz acheze!! Mara Gab akawekwa benchi mwanzo wa msimu. Akiacha hizi weird experiments na upendeleo he will be the best ever.
Hakuna jipyaKumbe ,unacheza na city yenye midfield ya kovasic na lewis unashinda goli moja tena dakika za mwisho ,nafikiri etihad utaiona show ,tena hao watu wasiwe juu ya table wanakuwa wakatili kwenye mechi za kuongeza gape kama hizi.
Sasa wakubwa wote wakufunge hata top 4 utaingia vipi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hizi sasa ndio mentality za mashabiki wa Arsenal nnaowajua mimi, hawa jamaa ubingwa wao ni kuingia top4 au kubahatisha kuzifunga big teams.