Sijajua kocha ana mpango gani, ila confidence yangu ya game imepungua baada ya kuiona hii starting lineup. Wacha niangalie match, huenda kocha ataniprove wrong kwenye kile nnahisi kinaweza kutupata.