Mjusi_kafir
JF-Expert Member
- Dec 4, 2023
- 299
- 518
Wale Luton hawafai kabisa aiseeNilisema hapa Luton atawaumbua wengi
Hii ngoma, umri ushagota, na ajichunguze maisha yake nje ya uwanja sio bure.pancha tena [emoji2956] View attachment 2892721
Liverpunda anakufa 2 kavukweli mmejikatia tamaa hatukuwazoea hivi wakati hapa mdomo ungekuwa unapigwa kweli kweli[emoji16][emoji16][emoji16]
Hapa hamiss akitoa vitu vyake,pale mkorea nae akidakia.
lakini kimya.
Fulham na Aston villa wamstosha kuusimamaisha kasi huu uzi.kweli mmejikatia tamaa hatukuwazoea hivi wakati hapa mdomo ungekuwa unapigwa kweli kweli[emoji16][emoji16][emoji16]
Hapa hamiss akitoa vitu vyake,pale mkorea nae akidakia.
lakini kimya.
Hii hopeless fcFulham na Aston villa wamstosha kuusimamaisha kasi huu uzi.
Na wasijiroge wakatangulia kutufunga, hizo hasira zake....Liverpunda anakufa 2 kavu
Akija vibaya au akijaribu kupishana, fedheha itamkuta
Huyu tumuhesabu kama siyo mchezaji wetupancha tena [emoji2956] View attachment 2892721
Ata huko kututangulia sidhani, sioni wakicheza mpira wowote leoNa wasijiroge wakatangulia kutufunga, hizo hasira zake....
Ukae kwa kutulia Bibi, leo Mtakufa 2 tuHesabu wenyewe tuwachape ngapi
Baadaye msikimbie[emoji23]Ata huko kututangulia sidhani, sioni wakicheza mpira wowote leo
Wawe na adabu tu, tutafanya vile itakavyo tupendeza
Hesabu goli 5 kuendeleaUkae kwa kutulia Bibi, leo Mtakufa 2 tu