Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunaomba radhi AFCON ilituweka busy tukachelewa kuwawekea matokeo haya.
Baada ya kutukana mtuambie nyie mnacheza limi FA.
Daraja la ngapi hawa newport na wamewezaje kupiga mabao mawili?
 
Arsenal XI: Raya, White, Saliba, Gabriel, Zinchenko, Rice, Odegaard, Smith-Rowe, Saka, Jesus, Martinelli.

Subs: Ramsdale, Kiwior, Soares, Walters, Jorginho, Trossard, Havertz, Nelson, Nketiah.
 
N. Forest wamekua wabishi mno mno
Kai na Trossad anahitajika Sana, sijajua amtoe Nani na nani
 
N. Forest wamekua wabishi mno mno
Kai na Trossad anahitajika Sana, sijajua amtoe Nani na nani
Ni kuendelea kuwakandamiza upande wao kuzidi kuwachosha.. dk ya 75 unaleta hao, labda na nelson kwa smith rowe, saka na martinelli. Inategemea pia forest watafanya sub gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom