Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yani mjomba Partey ndo kwanza ameanza kupasha mazoezini. hata mechi Moja ya kuishuhudia Ile comb matata ya Mjomba Partey, Rice na odergard bado, lakini makocha wa timu pinzani wanahaha, wengine wameamua mapema kutangaza kuondoka.
Hii Arsenal ya moto [emoji91][emoji91]
Majuzi nimetoka kuandika hapa, Hakuna kikundi Cha watu kinachojiita timu ya mpira wa miguu itaikwepa hii fedheha

Klop ametshatema bungo, msimu ujao hatakuwepo

Nyumbu na 7hang Kama wanaviziana hivi

Kenge na pochetino hawa wapo 50/50

Pep na city yake Hawa ni majeuri, na dawa yao ndio imeshaiva rasmi
 
Bermuda triangle
IMG-20240129-WA0009.jpg
 
Majuzi nimetoka kuandika hapa, Hakuna kikundi Cha watu kinachojiita timu ya mpira wa miguu itaikwepa hii fedheha

Klop ametshatema bungo, msimu ujao hatakuwepo

Nyumbu na 7hang Kama wanaviziana hivi

Kenge na pochetino hawa wapo 50/50

Pep na city yake Hawa ni majeuri, na dawa yao ndio imeshaiva rasmi
Tunaenda kudominate league miaka 10+ consecutively
 
Hili halina ubishi mkuu, [emoji817]

Klop anaondoka lakini liverpunda bado wapo

Pepe amepigwa Emirates anaenda kupigwa Etihad

Nyumbu tutajipigia vile tutakavyoona inatupendeza

Kenge hili ndio Kama ngoma, japo alibahatika sare pale kwake, akija Emirates maji wataita mma
 
Mwenye habari za D.Ricetafadhali niliona alitolewa sababu ya minor injury je amerecover?
 
Tunaenda kudominate league miaka 10+ consecutively
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asenyetoz mna roho ngumu sana , na imani ya kuhamisha milima kwa hakika mnayo
Kwamba asenyetoz mnaenda kudominate league Kwa miaka 10+ au sio ?
Hi hii ligi ya EPL aka ipielo au mnaongelea ligi ya ndondo cup ? ,aiseee ,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
False hopers WA Arsenyetoz mna ulimwengu wenu wa kipekee mnaoishi
 
Mikel Arteta on why he wants to stay at Arsenal: "There is a lot to do here as well. You can feel it that we want more we’re not satisfied."
 
Mashabiki wenzangu wa arsenal msitegemee chochote chini ya arteta.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kina Masingeli wakikusikia watakuita mamluki, wakati msimu unaanza watu humu walikua wanadanganyana sana kwa false hopes sisi wakongwe tukawa tunacheka tu kimoyomoyo, ilifikia hatua Masingeli na CO-wokers wake wakawaaminisha watu kua msimu huu ni zamu ya Arsenyau ku win Treble kama Man City alivyo win msimu ulioisha.
Masingeli akatuletea mpaka predictions za Super Computer kuonyesha UEFA trophy msimu huu ni mali halali ya Arseno.
[emoji23][emoji23][emoji23] Sema hizi false hopes sio kwa mashabiki tu, hata wachezaji wenu nao mentality zao ni hizohizo.
1706599670841.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kina Masingeli wakikusikia watakuita mamluki, wakati msimu unaanza watu humu walikua wanadanganyana sana kwa false hopes sisi wakongwe tukawa tunacheka tu kimoyomoyo, ilifikia hatua Masingeli na CO-wokers wake wakawaaminisha watu kua msimu huu ni zamu ya Arsenyau ku win Treble kama Man City alivyo win msimu ulioisha.
Masingeli akatuletea mpaka predictions za Super Computer kuonyesha UEFA trophy msimu huu ni mali halali ya Arseno.
[emoji23][emoji23][emoji23] Sema hizi false hopes sio kwa mashabiki tu, hata wachezaji wenu nao mentality zao ni hizohizo. View attachment 2888160
Masingeli sio mtu wa kumchukulia serious, hayuko sawa at all.
 
Kwamba msimu wa soka umeisha mpaka uanze kijichekesha chekesha kama zwazwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asenyetoz mna roho ngumu sana , na imani ya kuhamisha milima kwa hakika mnayo
Kwamba asenyetoz mnaenda kudominate league Kwa miaka 10+ au sio ?
Hi hii ligi ya EPL aka ipielo au mnaongelea ligi ya ndondo cup ? ,aiseee ,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
False hopers WA Arsenyetoz mna ulimwengu wenu wa kipekee mnaoishi
Endelea kukariri. screenshot kabisa uwe unajikumbusha huko mbele, msije sema hatukuwaambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom