Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mungu atuepushie na majerui


Kuhusu kutoa vipigo, Hilo lipo chini ya uwezo wetu

Hakuna mtu ataikwepa hii fedheha inayokuja hivi punde
 
Robin van Mpuuzi Mmoja katika ubora wake
Sasa upuuzi wake unatokea wapi wakati alipotua tu kiumeni akakutana na surprise ya ndoto yake.
Lakini hata sisi mbona tuliwauzia ukuta wa Berlin Mikael Silvestre
 
🚨 Confirmed: Gabriel MagalhΓ£es has been accredited with the second goal in Arsenal’s 5-0 win over Crystal Palace on Saturday, following an appeal by the club against the decision of awarding it as a Dean Henderson own-goal. [@premierleague]
 
Ndio kombe lenu la msimu huu hilo!
 
Liverpool since Klopp joined

UCL
Super cup
Club world cup
Premier League
Carabao cup
FA cup

Chelsea since 2015 (when Klopp joined)

UCL
Super cup
Club world cup
Premier League
FA Cup
Europa League

Arsenal since 2015

Arteta this
Arteta that
FA Cup
Community shield
Declan Rice Aura
Saka masterclass
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wambembeleze Klopp aende angalau awape hata kikombe kimoja
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wambembeleze Klopp aende angalau awape hata kikombe kimoja Cha maana
 
 
+Without forgeting Gabriel accredited goal after appeal on decision of reffereee to award Dean Henderson own goal!
 
Yani mjomba Partey ndo kwanza ameanza kupasha mazoezini. hata mechi Moja ya kuishuhudia Ile comb matata ya Mjomba Partey, Rice na odergard bado, lakini makocha wa timu pinzani wanahaha, wengine wameamua mapema kutangaza kuondoka.
Hii Arsenal ya moto πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…