Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Attachments

  • 20231212_150016.jpg
    20231212_150016.jpg
    92.9 KB · Views: 19
Huyu mpuuzi na sanchez walikosa kitu kinaitwa "integrity"
Walikuwa materialistic.kuna wakati thamani ni bora kuliko gharama
Hata hivyo tusimlaumu. Alikuwa ametushikisha makali tukalazimika kumuachia. Akaenda kushinda kombe lake moja la kumbukumbu na habari yake ikaishia hapo.
 
Nimeangalia kisa cha Adel Taarabt, nakumbuka tulihusishwa naye kipindi fulani. Talented player ila alikuwa mbinafsi na mambo ya kibongo ya kupenda chenga zisizo na tija. Sometimes anapata mpira half yake, anapiga mtu tobo, anapoteza mpira, wanapigwa goli.
Kocha wake, Warnock alimuambia nitakuweka uwanjani tu, ukiharibu mechi hii, nitakuweka ijayo, nakadhalika.
Halafu akawaita timu nzima pembeni, bila ya Adel, akawaambia 'yeyote atakayampa Adel mpira kwenye half yetu anapigwa fine ya pauni 50'. 😀😀

View attachment 2882489
Ujuaji na ujeuri mwingi vilimpoteza mapema kwenye game, wachezaji wengi wemye asili ya uarabu wanajua boli na ni jeuri, kiazi cha kina samir nasri, mguu alikuwa fundi, nakumbuka aliwahi gombana na mzee harry redknapp pale QPR alikuwa ni faza mixer kitambi kilimtoka.
 
Thomas Partey:

"I am happy to be back. I am ready to help the team win the Premier League and Champions League this season. I also want to thank the fans for their support during my Rehab."
 
Back
Top Bottom