Raia wa kenya asilimia kubwa ni mashabiki wa ArsenalNaona uwanjani kuna Arsenal Kenya "Hakuna Matata" sisi tunakwama wapi?
Huku wengi NyumbuRaia wa kenya asilimia kubwa ni mashabiki wa Arsenal
Tumeanza na MartinelESR in Kai out napendekeza
Nakubali, Eze anajituma sanaKuna wachezaji hawana bahati, Eze na Olise walipaswa kuwa kwenye klabu kubwa duniani, sio crystal palace