Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unajizima data, sio?
 
All the rival fans enjoy when the Arsenal lose a match, nimegundua kwamba they get scared about us.
Mkuu Will Jr sio kwamba we are scared of you, fulham alone can do the job single handed let alone westham and the likes. We are here to remind you that arteta's arsenal is overrated. Now the truth is coming out prematurely.
 
Huyu sio wewe kwenye jukwaa la Man U ?
 
| Mikel Arteta kwenye kambi ya mazoezi ya hali ya hewa ya joto huko Dubai: "Wachezaji wanaihitaji kwa sababu hatuwezi kuhoji juhudi zao.

"Walichokifanya [dhidi ya Liverpool], na mtazamo ambao wamecheza nao, ujasiri, uwajibikaji - kila kitu kipo.

"Lakini mpira hauendi katika mwelekeo sahihi kwa sasa kwenye nusu ya wapinzani, halafu unaruhusu bao lako ambalo ni la kushangaza.

"Lazima tubadili kasi, hiyo ni hakika, na tunahitaji wachezaji wetu na tunahitaji watu wetu pia.

"Katika nyakati ngumu, tunashikamana na kuwa nyuma ya wachezaji hao ambao, kwa maoni yangu, wanastahili mengi.

"Wanathamini hilo na tunashikamana na kufanya kile tulichofanya hapo awali. Hakuna jipya, matokeo yatakuja na furaha itakuja." [@arsenal] #afc
 
Kasha poteana kwa sasa na itamuhitaji muda kukaa sawa nafikiri kama ataendelea kuamini vile anavyoamini basi asenali wajiandae kugombea nafasi ya yuefa tu nasi vinginevyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....

Msimu huu asenali kushinda kombe chini ya arteta sio tena jambo tarajiwa ni muujiza tu ndio utaruhusuπŸ‘£

Fezifooo bai bai
 
Kaongea point sana.
 
Kaongea utopolo, anawa-back up wachezaji ina maana hakuna usajili. Nakumbuka Ferg aliwahi kumpiga na kiatu Ron akachanika chini ya jicho kwa ujinga waliofanya uwanjani. Huyu bado anawapaka wachezaji wake mafuta kwa mgongo wa chupa.
Achana naye huyo Nyumbu anatusanifu tu sisi timu kubwa. Huenda hata hajasoma kilichoandikwa πŸ˜€πŸ˜€
 
Huko Dubai tumeenda kufanya mazoezi ya kupiga mashuti, a.k.a madongo. Tukirudi makipa wenu wajiangalie vizuri. Ni madongo kwenda mbele. Yani wasipokiwa makini hata Raya na Rambo watashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…