Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naf
Tuliwaambia hapa mapema tu Xhaka hakutakiwa kuuzwa, timu ya msimu uliopita angeongezwa Rice mngetisha. Ila mkaamua kuuza Xhaka mkanunua Havrtz mzee wa mipira ya juu.
Nafikiri xhaka kuuzwa sio shida kwakuwa alikuwa anahitaji kutoka,ila inshu ni namna arteta alivyoamua kufanya sajili ya kumrithi xhaka hapo ndio 😂😂😂.....

Sasa hivi hana ujanja ana wachezaji wengi wa kawaida na wale anaowategemea wamekuwa wa kawaida 😂😂😂....

Ukocha kazi ngumu sanaaaa maana sasa hivi akifeli n amejimaliza mwenyewe
 
Huwezi kunishawishi kwamba una jicho la kimpira kuzidi recruitment team za Madrid, Bayern na Arsenal waliomuhitaji.
Hata Pepe alichukuliwa na hiyo hiyo recruitment team y Arsenal, wamesomea lakini wao sio kwamba ni mungu. Kwa Kai kubalini tu mmejambia Anga. achaneni huyu muhuni anaewadanganya eti kai anasaidia mipira y juu.
 
ARteta mwenyewe uwezo mdogo, bora wangebak na Unai kuliko huyu tapeli.
 
Huwezi kunishawishi kwamba una jicho la kimpira kuzidi recruitment team za Madrid, Bayern na Arsenal waliomuhitaji.
Una uhakika Madrid walimhitaji?au unasoma transfer rumours na kuziamini 100 💯?...ma agents sometimes Wana leak habari za uongo na hata kulipa waandishi hela WA push story za uongo ili kuuza wachezaji......ni biashara kubwa Sana hiyo
 
Una uhakika Madrid walimhitaji?au unasoma transfer rumours na kuziamini 100
?...ma agents sometimes Wana leak habari za uongo na hata kulipa waandishi hela WA push story za uongo ili kuuza wachezaji......ni biashara kubwa Sana hiyo
Nilijua toka mwanzo kuna mtu atauliza swali kama hili, hii pekee inatosha kutoendeleza mjadala, unataka uhakika upi kama credible sources zilileta hizo habari?
 
Kwani wakipoteza Chelsea, Liverpool au Manchester United wewe hufurahi? Kwahiyo nawewe unawaogopa au?

Acheni kujitungia useless stories kila Timu inafurahia anguko la mwenzake musitake kujifanya mimi special.
Sinaga huo utoto, nowadays ni nadra sana kunikuta kwenye thread za timu pinzani, huo muda ni bora nijifunze ni kwanini timu husika either Arsenal/Spurs/ Man city wamepoteza mechi kuliko kukaa kurusha vijembe kwenye thread.

Ukweli ni kwamba wazee Mnatuogopa mno, nadhani ndio sababu mnajaa humu tukipoteza mechi, standard mliyotuweka ni kubwa sana, kwamba sisi hatutakiwi kufungwa au ku draw? Sasa unakuta mtu anakesha wiki nzima humu akiongelea ubovu wa Arsenal eti sababu tulipoteza 1-0 dhidi ya A villa au Newcastle!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…