Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Different mind same thinking.naona unachoona mkuu.haya matokeo yana faida mnooo
 
[emoji1621] Ukiachana na Kutengeza XG karibu 6.7 kwenye match 3 zilizopita ila tumefunga goal 1 [emoji848]

[emoji1621] Hoja yangu Leo ipo hapa Arsenal Siraha yao kubwa wakiwa hawana mpira ni Aggressive Man to pressing

[emoji1621] Ndio Msingi mkubwa kujilinda Arsenal sasa endapo mpinzani akifanikiwa Kubeat hii press uwa tunakuwa kwenye hatari kubwa kuruhusu Goals

[emoji1621] Tunapunguza Threats za mpinzani endapo anacheza mpira wa pass fupi fupi hapa kubeat press yetu uwa ni ngumu

[emoji1621] Ila Mpinzani akianza tumia mipira mirefu hapa tunapata shida sana kujilinda Angalia game jana Second half Liver walivyo anza piga mipira mirefu

[emoji1621] Walifanikiwa sehemu kubwa kubeat press yetu hivyo basi tunatakiwa kufanyia kazi kiulinzi pia namna kujilinda kwenye Transitions za namna hiyo

[emoji1621] Mwisho tujitathimin Najua pengine fatigue sababu UCL uwa hakuna rotation kama Europa wachezaji wamecheza game nyingi mfululizo wale wale ila tunatakiwa badilika mashambulizi yetu yasiwe machachari yawe hatari

Amigos
 

[emoji1621] eti na ka emoji ka kuandika [emoji23][emoji23][emoji23] we una drama sana
Kama umeandika vya kueleweka vile [emoji23] kwahio apo ndo umechambua si ndio
 

Lakini mwamba wakati mwengine kwa hivi unavyoandika unataka utukanwe na washabiki wenzako kwa makusudi.
 
[emoji23] Ni vile nchi inaruhusu uhuru wa kujieleza lkn kama sio ivo.. Jamaa ilibid awe ameshapewa kesi ya utapeli wa maneno na porojo.
Ila tuache utani Masingeli amelichangamsha sana hili jukwaa, bila ya uwepo wake humu hili jukwaa hua halinogi kabisa, tatizo lake huyu jamaa hua ana roho nyepesi sana timu ikifungwa.
Akianzaga zile story zake za aerial duel, Pressing na Overloading, positional interchange na flexibility akamalizia na zile story za Super Computer hua anaikusanya na kuiteka misukule mingi sana humu.
Jamaa hua linajua sana kucheza na akili za mafalse hopers ya humu, tena wale chawa wake kina arsenal2004 na mkorea ndio huwaambi kitu kuhusu Masingeli maana kashawaamisha kua yeye ni Chambuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi.




Sent from my Infinix X6831 using JamiiForums mobile app
 
Angalau umekuja kuwachambulia wenzio wajue wapi timu ilikosea.

Ila jamaa mnamtukana bure tu ila ameandika ukweli.

Ila msisingizie fatigue
Hata sisi wachezaji wetu wanachoka.
 
Kitu alichoandika jamaa ndicho walichoandika Liverpool Jana baada ya mechi.
[emoji1621] eti na ka emoji ka kuandika [emoji23][emoji23][emoji23] we una drama sana
Kama umeandika vya kueleweka vile [emoji23] kwahio apo ndo umechambua si ndio
 
Watu walishaona kama fashion kumtukana jamaa.
.
Kuna muda anaandika ukweli
Kuna muda ushabiki unamzidi
 
Mafanikio yenu msimu huu ni kudraw na Liver Anfield.
Nje na hapo hakuna kikombe chochote mtapata.
 

Attachments

  • IMG_20230317_133330.jpg
    59.8 KB · Views: 27
Nadhani tunahitaji sana kuongeza uwezo wa kushambulia space hasa tunapokuwa na mpira.harvets sio mbaya ila wote tubakubaliana hana uzuri tunaouhitaji.
 
[emoji1][emoji1]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…